Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Mimi huyu wa kuosha watoto halafu wewe uwe unachati!!!!.

Anyway, kila shetani na mbuyu wake.
Kwani si ni watoto wako? Ukiwa na upendo na watoto wako hautaona kitu fulani ni jukumu la mwingine kukifanya.
 
Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha.

Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja; iweje wewe uwe peke yako peke yako? Wengi tutasingizia ni utafutaji wa maisha n.k, je ni sahihi kupingana na dhana halisi ya uumbaji kwa ajili ya pesa?

Mimi nipo na mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
Nyumbani...
 
Mwenzio unamdanganya ukitoka hapo unaenda kwenye mchepuko! Kapumbavu!
Tunaburudika na nyimbo laini za kwaya, si unajua leo jumapili; huku yeye amevaa kitenge, nami nikiwa nimevaa shati la kitenge 😀
 
Back
Top Bottom