Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,724
Tulikuwa tumechill zetu tu.Mnafanya nini muda huu?
Nikiwaga home, kwa 90%+ huwa nampa Dogo attention sana, first born hana watoto wa kucheza naye
Tulikuwa tumechill zetu tu.Mnafanya nini muda huu?
Mtafutie mdogo wake 😀Tulikuwa tumechill zetu tu.
Nikiwaga home, kwa 90%+ huwa nampa Dogo attention sana, first born hana watoto wa kucheza naye
Inabidi utafute mwenzako sasaHakuna siku usingle unauma kama jumapili jioni🤣🤣🤣🤣
mzee yuko wapiNasoma comments....
The world au siyo 😂You can't be single...
Im hear to give you th world
Kuna plan fulani naitekeleza, naona itachelewesha hilo aisee 😃😃Mtafutie mdogo wake 😀
😁😁😁😁Wanasema kama hauna Adam au Eva wako we ndio yule nyokaSingle tunanyanyasika jamani🙌
Na wew ukiwepo humohumo😂😂The world au siyo 😂
😪 usinikumbushe machunguumzee yuko wapi
Kafanyaje tena?😪 usinikumbushe machunguu
Na tuna nyanyasika haswaaa, mwayaaa,Single tunanyanyasika jamani[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann jamani?Hakuna siku usingle unauma kama jumapili jioni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]