Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,619
- 65,083
- Thread starter
- #61
Mnafanya nini muda huu?Nyumbani...
Mnafanya nini muda huu?Nyumbani...
ha ha ha haKwenye malezi hamna jukumu la baba au la mama.
AminaMtafanikiwa tu, muhimu uvumilivu
KiliaribikaKizazi kilitotewa mkuu? Sasa anaombewa ili kirudi au ni kwamba hana uwezo wa kuzaa?
Tunatafuta nyumba ya kupangaMnafanya nini huko?
Mungu awasaidie🙏🏽🙏🏽Kiliaribika
Mkipata ya kukaa wenyewe tu itakuwa nzuri zaidiTunatafuta nyumba ya kupanga
Waagizie soda moja moja hapo kwa kuwashtukiza; hapo maelewano yatarejeaTupo nyumbani? Naelewano yapo likizo wakati huu mie nipo JF yeye anaaangalia Movie ya kinaijeria nadhani amepewa dedication😄
Labda mhindi wa kuchomaWaagizie soda moja moja hapo kwa kuwashtukiza; hapo maelewano yatarejea
Acha ubahili; tabasamu linatengenezwa kwa gharamaLabda mhindi wa kuchoma
Mwisho wa hii changamoto ni lini?Mimi nipo Iringa mwenzangu yupo Pwani huko ajira mpya.Yaani ni mfano wa Paka kaondoka umeingia utawala wa Panya .Hapa napitia contacts taratibuuu nijipakulie minyama.
Jamaa yaani hawa Viumbe tuishi nao tu mawazo yao juu yetu Kuna wakati ni hatari tupu. Usiombe akafunguka akiwa na hasiri yaani umemchukiza. UtushangaaAcha ubahili; tabasamu linatengenezwa kwa gharama
Mwache ajenge nchi kwanza huko .Nahitaji kupumua kwanza .Mwisho wa hii changamoto ni lini?
Usiku mnene suluhisho litapatikanaJamaa yaani hawa Viumbe tuishi nao tu mawazo yao juu yetu Kuna wakati ni hatari tupu. Usiombe akafunguka akiwa na hasiri yaani umemchukiza. Utushangaa
Utaletewa mtoto ambaye si wakoMwache ajenge nchi kwanza huko .Nahitaji kupumua kwanza .
Ananijua salfeti yake ataikuta stendi inamsubiri😀😀Utaletewa mtoto ambaye si wako
PoleniMimi niko hapa igulusi
Mwenzangu yupo huko igwachanya
Kaniambia ananyege nmemjibu pole
Nae akajibu haya