Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Muda huu uko na mwenza wako wapi?

Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha.

Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja; iweje wewe uwe peke yako peke yako? Wengi tutasingizia ni utafutaji wa maisha n.k, je ni sahihi kupingana na dhana halisi ya uumbaji kwa ajili ya pesa?

Mimi nipo na mwenza wangu, tunasikiliza kwaya; je wewe upo na nani?
Nipo lodge hapa Survey nafanya mambo ya wizara ya masuala ya nje
 
Back
Top Bottom