Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

hip hop ni uhuni,nyi vijana baada ya kujadili katiba,tezi dume,escrow,mnaimba uhuni tu hapa.sisi wazee tunawategemea huku kijijini kuiondoa ccm nyie mnafanya mambo ya hovyo kabisa.Tumepigika sana huku.pasco,miss chaga,mzizi mkavu,jr mshana,vijana wanaharibu jf yetu hawa
 
Wana Jf ni muda sasa wa hip hop , tunaandika habar mbalimbali kwa vina na michano, haya twende kazi kwenye hizi ngumu nyeusi mpaka waeleewe

ha ha ha kwenye michano nami nimo sio fan sana wa wakata viuno ila napenda track anazo fanya domo wala simpi promo ila level flani sizizo na ukomo,narudi kweny hiphop michano mikali kma jmo kwenye game kitambo zaidi ya benzino,haya sasa mleta mada ume elewa hii michano? au ndio mgininji nyekundu unaita njano? ngoja nikaoge sasa niende job leo j4 sio j tano,ntarudi tena hapa jamvini saa tano.
 
hip hop ni uhuni,nyi vijana baada ya kujadili katiba,tezi dume,escrow,mnaimba uhuni tu hapa.sisi wazee tunawategemea huku kijijini kuiondoa ccm nyie mnafanya mambo ya hovyo kabisa.Tumepigika sana huku.pasco,miss chaga,mzizi mkavu,jr mshana,vijana wanaharibu jf yetu hawa

Hophop uhuni? Na ccm utawaitaje
Acha unaotuita wahuni tuburudike we mlokole unawasudiaje
We dont give ashit so haabudiwi mtu
Hatuna ubaguzi its all about consciousness kama unajielewa tema vitu
 
ha ha ha kwenye michano nami nimo sio fan sana wa wakata viuno ila napenda track anazo fanya domo wala simpi promo ila level flani sizizo na ukomo,narudi kweny hiphop michano mikali kma jmo kwenye game kitambo zaidi ya benzino,haya sasa mleta mada ume elewa hii michano? au ndio mgininji nyekundu unaita njano? ngoja nikaoge sasa niende job leo j4 sio j tano,ntarudi tena hapa jamvini saa tano.

Unanichekesha sana kijana #chingaone
Unampenda hiphop na unazimia ngoma ya ndomo namba one
Ww rapa mauno
Njoo upewe darasa huru njoo upewe michano
 
hip hop ni uhuni,nyi vijana baada ya kujadili katiba,tezi dume,escrow,mnaimba uhuni tu hapa.sisi wazee tunawategemea huku kijijini kuiondoa ccm nyie mnafanya mambo ya hovyo kabisa.Tumepigika sana huku.pasco,miss chaga,mzizi mkavu,jr mshana,vijana wanaharibu jf yetu hawa

We Mzee tuliza mshono,
Acha kukatika mauno
Tulia upate somo lenye maono

Sie ni hip hop,wewe vigodoro
Usije ukapigwa paipu,mitarimbo hapo doro
Tuache tuchane,huu ndo mzuka wetu
Naenda kwenye sebene,utaliwa peku

Hebu katika nikuone,utamanishe watu

Suruali zimedinda,kiuno unavyokatika

Hebu sepa fast a,usije ukachapika
 
Unanichekesha sana kijana #chingaone
Unampenda hiphop na unazimia ngoma ya ndomo namba one
Ww rapa mauno
Njoo upewe darasa huru njoo upewe michano

Ha ha ha gwijimimi sio dhambi sio kesi kupenda namba one,rapa mauno ni tusi kwa Chinga One,darasa huru bila kiruu sio kufuru,unaweza michano hebu nipe mfano...
 
Last edited by a moderator:
We Mzee tuliza mshono,
Acha kukatika mauno
Tulia upate somo lenye maono

Sie ni hip hop,wewe vigodoro
Usije ukapigwa paipu,mitarimbo hapo doro
Tuache tuchane,huu ndo mzuka wetu
Naenda kwenye sebene,utaliwa peku

Hebu katika nikuone,utamanishe watu

Suruali zimedinda,kiuno unavyokatika

Hebu sepa fast a,usije ukachapika

Ha ha ha we jamaa umetisha kama kama komando john enzi za tisini na tisa

Mpe fact mpe truth bila kusita
Hii thread matata ina nipa mzuka

Mitindo huru ndio mpango nani ana bisha?

Eti hiphop ni uhuni we utakula Vitasa
A
Wapenda taarabu kaa mbali hii sred ni ya magansta.
 
Yoo yoo yoo yea yea
Anhaa
Mods huu uzi uwe sticky la sivyo ntakuita shosti

Hata unipige ban kweny hii sred mi stoki MTAZAMO gwijimimi Shark Viol lazma mnipigie magoti
Siji nadi kwa mavazi mgongo wazi kumbe umevaa koti

Mbele yako nyuma yako ng'amu hata kwa tochi

Mistari imejaa vina heshema usipite bila kuvaa soksi

njoo kati piga kaki turap kama hisabati.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uga wetu acha tujinafasi,nafloo schumaker cheki nilivyokasi/nilivyo positive na muelekeo chanya,uliehanya cheki ulivyo hasi/haya mapigo makali mtoto huyawezi,siyawezi ndio jina ninalokupa,tupatupa huna kitu nakutupa/ cheki huna ukali,lamba asali kibogoyo huwezi tafuna hili fupa/rip langa,Mabovu ngwea madawa ya kulevya yalimzika chifupa/neno juu
 
Yoo yoo yoo yea yea
Anhaa
Mods huu uzi uwe sticky la sivyo ntakuita shosti

Hata unipige ban kweny hii sred mi stoki MTAZAMO gwijimimi Shark Viol lazma mnipigie magoti
Siji nadi kwa mavazi mgongo wazi kumbe umevaa koti

Mbele yako nyuma yako ng'amu hata kwa tochi

Mistari imejaa vina heshema usipite bila kuvaa soksi

njoo kati piga kaki turap kama hisabati.

wanahanya boss kuingia mweusi, system makin kuharibia kirusi, maneno machache kaz nying mrusi, nawakisha wasipo pataka wananiweka nnapo pataka , wana show love baada ya kupakatwa, wanachanganya na sera wanakimbilia siasa na bdo wana kosa makosa yaliyofanywa yanafutwa na walio wachosha
 
Last edited by a moderator:
kwanza nawajibu kwa ufahamu wa fasihi,
kisarufi na maana mistari yenu nahikiki,
mi kama mwanga namulika mchana jioni,asubuhi,
mistari yenu michafu nawasafishi kama jiki, Chinga One nyonga biti,
mi nasubiri kiki,
hii fani kama ligi,
nina vikombe vingi,
yeah!
 
Last edited by a moderator:
Natangaza rasmi kuanzia leo mistari yangu ntakua nakopi humu nimeipenda!

Mtoto wa kiume kwanini usijitume.
Kucopy na kupaste waachie magume gume.
Njoo nikufunze kuandika ngumu verse,siyo nyepesi.
Mimi ndiyo Mc hodari,kwenye mashahiri mahiri zaidi ya methali.
 
ah ah ah mi ndo mkali wa kukopi na kupesti,
mistari laini mepesi kama vesti,
sifa sifa nisiwe mi da best,
hii nd'o hazina ya hip hop iyolost,
dn worry man lemi take a rest!
Am alwayz sing n0nsese lol

Magnifico wewe bado mtoto.
Leo hapa nawasha moto.
Nawachoma machoko.
Magnifico hivi una bwana.
Anhaaaaa........!
Maana huko nyuma ni balaa.Ukitembea roho yangu inagaagaa.
 
Lyrical sniper, sio JF snipa/ wahapahapa, nawachapa/ bila lapa, sihofii fally ukija pupa/

Sijakutenga bado nakupenda.
Ingawa hali siyo shwari,lakini napigana nije kukulipia mahali.
Tuliza moyo mama,usjione mpweke.
Kwani sipendi uteseke.
Siku zaja nitakuita wife,ndani ya yetu life.
 
kwanza nawajibu kwa ufahamu wa fasihi,
kisarufi na maana mistari yenu nahikiki,
mi kama mwanga namulika mchana jioni,asubuhi,
mistari yenu michafu nawasafishi kama jiki, Chinga One nyonga biti,
mi nasubiri kiki,
hii fani kama ligi,
nina vikombe vingi,
yeah!

yo yo yo yo anhaa yeah

Viol kamata maiki susha vocal wape mikiki

ngoma nzito kama tegeta escrow P. Majaribu we bado mtoto

sitamani kulala japo usingizi unakuja kifala hii sred bado ni ya moto

mleta mada kasanda hawezi kuwa kamanda level za mdananda.

Chinga One imara kwenye mashairi kinara na sikubali kihasara

nashusha yote misala chinga ndio namba one

topic ni tamu kwa wenye vichwa timamu vyenye ufahamu mistari migumu kama moto jehanamu.

waraaaaap yooooooh.
 
Last edited by a moderator:
wanahanya boss kuingia mweusi, system makin kuharibia kirusi, maneno machache kaz nying mrusi, nawakisha wasipo pataka wananiweka nnapo pataka , wana show love baada ya kupakatwa, wanachanganya na sera wanakimbilia siasa na bdo wana kosa makosa yaliyofanywa yanafutwa na walio wachosha

mweusi47 nakukalisha kwa AK47

huwezi kukesha 24/7 nakuvalisha heleni

hata kwa sub mashine gun.
 
Last edited by a moderator:
mweusi47 nakukalisha kwa AK47

huwezi kukesha 24/7 nakuvalisha heleni

hata kwa sub mashine gun.

Dogo unapambana na mweusi, mkongwe kwenye uzi wa uasi, japo sikama hamas ila siwajana kama Is kuwa makin kwa pini nita kuasi.
 
Last edited by a moderator:
Dogo unapambana na mweusi, mkongwe kwenye uzi wa uasi, japo sikama hamas ila siwajana kama Is kuwa makin kwa pini nita kuasi.

Ha ha mi mbaya kama tezi dume kuasi sikupi nafasi,mgeni kwenye uzi siku mbili tu nashika kasi mkongwe nakupa ukakasi,nakunyoa kwa mkasi bila wasiwasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom