snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
Kamari mistari/
Jabali kabari/
Roba kali;
Kidizaini nikuite mwali/
Acha jeuri tafakari/
Wakati ushachezea vikwezi
Visivyo na idadi/
Msogelee@kim nana uone radi/
Kumpenda Kim nana kwangu kama jadi/
Viol una ndoto za abunuasi/
kumtake my wife Kim nana si kazi Rahisi/
unafanya mambo yaki ibirisi/
kwenda kwa mganga umpate kim nana kiurahisi/
Una steam kibao dogo acha kuvuta nyasi/
snipa mi ni Necta usiposoma huto pass/
Viol unapoteza muda bure/
time hizi ulipaswa kuwa shule/
haaha unachekesha bundle lako linaisha bure/
unalelewa na mishuga mammy we kula kulala bure/
Naona pressure inakushuka/
unamtumia PM Kim nana nimeishajua sasa utaumbuka/
please achana na mimi Viol heshma yako itashuka/
Huu ni ukweli hutaki ila nakupa/
unamtumia PM my wife Kim nana hata jibu hajakupa/
Et oooh Kim nana Viol ndo mimi hapa/
Angalia hadhi yako hufai kuwa na snipa/
Mcheki snipa maskini wakutupwa/
Jamani Kim nana kitu snipa atakupa/
Sikia Viol majibu uliyopewa leo/
Jaman Viol sikupendi mi unanipa kero/
nampenda snipa ata akiwa na jero/
snipa ni fundi mpaka wa katerero/
Mahaba anayonipa, nipo tayari anioe hata leo/
Viol sikupendi nielewe mwenzio/
snipa !
anaeacha asili siku zote ni mjinga
michano yangu mikali inapasua anga
joto linawapanda haters mi upepo napunga
vita ya peni smtymez ni kali kuzidi ya mapanga
hii game ni full kuhustle nami nimetia nanga
anaesepa atoke tunaobaki wacha tusake mpunga
shiny c hujui kufloo kwanza nin mana ya asili/
hebu jiangalie kidume unavaa bangili/
Uandishi wako unaonyesha shiny c huna akil/
We ni Dumelang tena makilikili/
huna chakufanya shiny c unawaza nini/
Njoo kwa snipa utaishi vizuri hapa mjini/
kama hutaki Rudi bush kule kwenu kijijini/
shiny c unainamisha kichwa chini/
Hii mistari ni ya snipa usizani kaandika jini/
hey shiny cee your the fake Emcee! You should quit hip hop !
snipa
Last edited by a moderator: