Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Kaka uandishi wako kama unatokea tanga vile.
Kila nikiusoma nakumbuka tts.
Kama ni wewe hebu jibu upesi.
Kama sio wewe basi haina kesi.

Hapana braza mi mtoto wa daslam/
May be huyo tts ni ndugu wangu wa damu/
Pitapita za wazee we mwenyewe c unafahamu/
Ok bdae niko bize naandaa Albam/......
 
Nazama ndani bila hodi,mi ndo kanjibai biashara kubwa bila kodi/ubinadamu kazi, ona sina kazi bora dawa dr ndodi/usafiri wa shida unafanya nikose masomo,dhiki na hizi shida sijui nilini kikomo/watoto wanakufa madaktari wamegoma,uko wapi nesi uishushe hii homa/inasikitisha nchi kulala kama pono,na wanangu nyumbani kisa walimu wana migomo/dah swaumu nayo kali ka vipi mida baada ya ftari/word up
 
Natangaza rasmi kuanzia leo mistari yangu ntakua nakopi humu nimeipenda!
 
Me ndo nyandu mwana wa dar es salaaam / masela wa kwangu madem wa platinum/ me mmoja naelewa , mwanamke tabia kama sura hata mbuzi amepewa/ tambua muziki kapu la vinono ukitoa rap wapo wanabana pua na wabana promo/ utasikia pa pa pa na milio tu ya gani/ nawachapa hoi wapo taabani/
 
Natangaza rasmi kuanzia leo mistari yangu ntakua nakopi humu nimeipenda!

Angalia Unaweza Kop mpaka jina/ wakakushangaa huko unakoenda kuchana/ Utashuka thamani ka bidhaa za mchina/ tukigundua umekop mistali yetu utapata kipigo cha john cena/ buni vyako usikop na Kupest/ mwisho wa siku kwenye gem tutakufuta ka dust/
 
Angalia Unaweza Kop mpaka jina/ wakakushangaa huko unakoenda kuchana/ Utashuka thamani ka bidhaa za mchina/ tukigundua umekop mistali yetu utapata kipigo cha john cena/ buni vyako usikop na Kupest/ mwisho wa siku kwenye gem tutakufuta ka dust/

ah ah ah mi ndo mkali wa kukopi na kupesti,
mistari laini mepesi kama vesti,
sifa sifa nisiwe mi da best,
hii nd'o hazina ya hip hop iyolost,
dn worry man lemi take a rest!
Am alwayz sing n0nsese lol
 
Aaa aa aa aa aa aa aaa aa aaa,
Naona mpo mnaflow mistari,
Angalieni mistari isibane mithili ya venturi,
Isiwe na wingi wa maneno kiasi cha zaburi,
Bali iwe na uzito kiasi mfano wa jabali,
Isipotoshe ujumbe kama vitabu vya nyambari,
Isiwe na pumba nyingi kama hii serikali,
Ieleweke kiuwepesi kwa watakaoitafakari,
Itoe solution pamoja na matatizo kuyakabili,
Isiwafanye watu wapendelee pekee kujivinjari,
wapate uangavu wa mawazo pamoja na akili,

...
..
...
..
 
obama kashasema matatizo yetu tusolve wenyewe, tusisubiri hadi air force 1 itue ndo tuondoe mawe, hakika tuamke sasa JK nchi kauza,hakuna tena amani wapi PAPI NGUZA, RIP SOKOINE though utata umejaa kifo chako, wapi IMRAM KOMBE ana mengi juu yako, uliwaaidi mahakama ya kadhi upanga, vipi mkuu umesahau au unajipanga,PM kusema wapigwe alipania au kakurupuka, amesaau alipotoka ila atakuja umbuka,BIG UP JAMII FORUMS,
YOU GROVE LIKE DRUMS.

mimi ndio master wa free stlye niliye baki baki baada ya ngwea,nawapa dolo wote wasiopenda kushindwa,najua unajua nn unatakiwa kufanya,nashangaa kukuona unabaki lalama,jk yupo bize na na nchi sio wakuda,kombe siku ilitimia acha ushamba,au tukuite kaka poa,hapa shoga,no pengine bwabwa linakufaa,hapa fegi haipandi labda mneli ndio unafaa,siogopi mbio za mchangni na polisi,wakija nawadisi,naendekza mitikasi,nawasaka wote waomzandiki raisi,usisumbuke kunitafuta mm nitakukalisha na kukuchukulia mkeo,arudi kukusimulia mapigo,haina noma kama unaweza kusubiri ndipo ufanye tathimini,kuliko kukaa na machiksi eti unmnanisema mm,unazani hawanipendi wanakufiksi,habari zote wananiletea mimi,wewe ni snitch,sikupendi,mnafiki kama sihitaji marafiki alivyosema fid.
 
Naomba niifufue hii thread michano mtelezo'

sio viduku vya navy kenzo'

au kama wajumbe wa katiba na posho za dezo dezo'

hapa utadata fata ulicho chata'

kama kawa kama dawa ni0g0pe mi joka kwene karata'

wananiita magnifico kama magufuli mtata'

mi mkali wao black chata alishavyata'

yia yia'
 
Last edited by a moderator:
Siasa inaleta majeraha uraiani wanafeli,tunaishi kwa hope km kufufuka makaveli,wengine snitch kama yule wa mwisho wa reli,ila tunasimama kiukweli,kombati lazima ipige hodi ikulu pale feri,sera zetu sio ujamaa,ni m4c ndio nchi itatengamaa,viongozi hodari km mbowe na slaa,chama cha majanga 2015 kitakaa,kwa utundu na maujuzi,wakufunzi mwaga dozi,buku saba wanahitaji wauguzi,upepo mbaya ushawakumba,wanahaha kina kayumba,hakukaliki mitaa ya lumumba
 
Mitaani sionekani kama jini,
Dadako anatamani kuwa na bwana kama mimi,
wananifuga kizungu mikuku wa kienyeji,
napanda jike yeyote hata kama akiwa shemeji,
 
Mitaani sionekani kama jini,
Dadako anatamani kuwa na bwana kama mimi,
wananifuga kizungu mikuku wa kienyeji,
napanda jike yeyote hata kama akiwa shemeji,

teh teh teh mistari yako imenifurahisha'

japo chini haijaisha'

vp kama wanaharakat wetu linawatisha'

ni kugeuza maneno ibara ya katiba ikabdilishwa'

kifungu kwa kifungu nakuweka ka u0ga kwenye chungu'

ndizi kwenye mkungu'

huwezi ni0na mi nd'o moshi wa ukungu'

Simulikwi kwa tochi utani0na kwa nguvu ya MUNGU'
 
This shit ain't android, you wont find it in a playstore,
YO mama taught u better neva play with storm,
They tryna chew this but this shit is hot,
follow follow me Mavoko u'l get lost,
HOld on.....lemie make this clear,
biting behind my back u ain't nothin but a queer,
i wont spare no snitch y'all wait the Don's wrath,
face me with a sling? ma nicca am no Goliath,
son of soldier armed with bitter lines,
all my true comrades stay in yo lanes,
find yourself inside my red book,
stan yo chest and hang u with meat hook,
I got bhakressa thoughts living a peasant's life,
my music like Kabbalah who's ready to deciphe?
i dont do collabo, might freeze ur verse,
first name don, last name chese!
 
This shit ain't android, you wont find it in a playstore,
YO mama taught u better neva play with storm,
They tryna chew this but this shit is hot,
follow follow me Mavoko u'l get lost,
HOld on.....lemie make this clear,
biting behind my back u ain't nothin but a queer,
i wont spare no snitch y'all wait the Don's wrath,
face me with a sling? ma nicca am no Goliath,
son of soldier armed with bitter lines,
all my true comrades stay in yo lanes,
find yourself inside my red book,
stan yo chest and hang u with meat hook,
I got bhakressa thoughts living a peasant's life,
my music like Kabbalah who's ready to deciphe?
i dont do collabo, might freeze ur verse,
first name don, last name chese!

Ningeomba nisijibu hii mistari yako'
 
shwari kaka, mi nimezoea kiGucci mane sa we unanipeleka fasta ka buster, hata!
hahaha, si unajua flaws ziko dynamic, tunchange tu kwenye game. af ile biti soon ntakuckiza yangu nlofanya, maana daily naedit ryhmes!
 
mi ndo mKali
nyie wengine wote ni vinyuli
nimebaka wengi mademu wenu wazuri
kushindana nami ni kukaa ktk mvua bila mwavuli
juzi nlkutana na doli
nkampga denda nkamwacha ktk poli
spd 312 npo ktk gali
flow nmewabwaga ile mbali
ka naweza nkubali
cz haina gharama wala kibali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom