Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Yo yo yo,hili sredi kali,kama ongara mangonga,mods mkae mtulie masela tutiririke,escrow kitu gani watz ni mazombiii,viongozi wanakula nyie mmetulia,nina hasira kama nimemwagiwa maji ya batteri,eyo eyo eyo,watoto wa mama sepeni humu
 
ulianza wewe wakaja waimbaji na wabana pua/
wale mwewe mfano wa wawindaji wakatusua/
 
Magnifico wewe bado mtoto.
Leo hapa nawasha moto.
Nawachoma machoko.
Magnifico hivi una bwana.
Anhaaaaa........!
Maana huko nyuma ni balaa.Ukitembea roho yangu inagaagaa.

Usipime kwa macho utapotea/

elements zako za kigasho chunga mtalmbo ucje ingia/

nnapflow punch lines,
maskio tega kuckizia/

nachana nabatle sana,
sibato na mahanisi/

kabla hujandis,
dis yo' damn face/

bwana mdogo chunga ucje pigwa ndunga,
ukatoka na aibu/

jaribu kuwa mpole,
rudi shule,
ushoga wako utaushnda majaribu
 
Last edited by a moderator:
Yeah yeah nalapu kuelimisha mambumbumbu,

mistari punch yaweza
toka bila mkono kushka
mapumbu,

narap nnavyotaka,
game nalifanyia mautundu,

natangaza hali ya hatari,
mods washa taa nyekundu,

@p.majaribu usijiite MC hodari,
kama huna punch hatari,

umekutana na magnifico,
mistari naichota kwa kijiko,

kwanza ujinga kwangu mwiko,
natembea mpaka kwene beats za enriko,

huwa nacheka kama scooby doo,
nnapoku0na @p.majaribu sistaduu,
unatembea vidole juu,
sista hujatulia sepa kwene uzi huu!

Yeah!
 
Last edited by a moderator:
Nampongeza sana.
Aliye weza kuji kuna
Nakuleta post hii
Kwani marapa hatusikiki
Kwa hongo zamaproduza
Awa elewi vipaji wavipoteza

Ibra madishi nimekimbiza
Wengi wana wan garagaza
Mistari yangu ina vina
Kama ya kalapina

Wana jf mlie viona
Karibun moshi mweze kushuhudia
Piga 0767353440 uweze kushuhudia
Marapa toka mosh
Tuwaonyeshe mapish
 
Nampongeza sana.
Aliye weza kuji kuna
Nakuleta post hii
Kwani marapa hatusikiki
Kwa hongo zamaproduza
Awa elewi vipaji wavipoteza

Ibra madishi nimekimbiza
Wengi wana wan garagaza
Mistari yangu ina vina
Kama ya kalapina

Wana jf mlie viona
Karibun moshi mweze kushuhudia
Piga 0767353440 uweze kushuhudia
Marapa toka mosh
Tuwaonyeshe mapish

Utuoneshe mapishi
Au uoneshe matapish
Hata kama haupish
Mi napita haunitish

Na wala sifupish
Mi ni KIOO sio mbish
Wala hodi sibish
Naingia tu kibish

Wala siitaji dish
Wala sikufundish
Soma haya maandish
Straight siyapindish

Nakukunja zaid ya fish
Mi kwangu haijalish
Wala sikujulish
Njoo mbona unakish

Ishi,Siri sizivujish
We laini zaid ya Mish
Wala huniamasish
So,taji sikuvalish,wish...!

Call me KIOO,mi sio ibramadishi
 
Last edited by a moderator:
Kioo huniwezi
Ww ni kama ndezi
Umejipaka vipodozi
Yani kama andaazi

Ibrakwako ni jinamizi
Nakuchisha kwenye njozi
Umavaa nightdrees sio blauzi
Madem zako wote ni vilamba uzi

Ww ni kondoo anashindana mbuzi
Wajiona unahasira zaidi ya mkizi
Mimi kwako ni dozi
Utanitumia bila maamuzi

Nakuona kama tv
siena king'amuzi
Ww kwangu ni demu ninae kuita mpenzi
Ibra madishi huni wezi
Nibora uni enzi
Mosh rapa hapa www
 
Kioo huniwezi
Ww ni kama ndezi
Umejipaka vipodozi
Yani kama andaazi

Ibrakwako ni jinamizi
Nakuchisha kwenye njozi
Umavaa nightdrees sio blauzi
Madem zako wote ni vilamba uzi

Ww ni kondoo anashindana mbuzi
Wajiona unahasira zaidi ya mkizi
Mimi kwako ni dozi
Utanitumia bila maamuzi

Nakuona kama tv
siena king'amuzi
Ww kwangu ni demu ninae kuita mpenzi
Ibra madishi huni wezi
Nibora uni enzi
Mosh rapa hapa www
.

Acha nilale ndg yng MUNGU akipenda kesho kaka pamoja jooh.
 
Usipime kwa macho utapotea/

elements zako za kigasho chunga mtalmbo ucje ingia/

nnapflow punch lines,
maskio tega kuckizia/

nachana nabatle sana,
sibato na mahanisi/

kabla hujandis,
dis yo' damn face/

bwana mdogo chunga ucje pigwa ndunga,
ukatoka na aibu/

jaribu kuwa mpole,
rudi shule,
ushoga wako utaushnda majaribu

ha ha ha ha hip hop michano kapachino bila mauno ngoma za mirindimo mistari bila maneno ni sawa na selemala bila msumeno.
 
Last edited by a moderator:
Utuoneshe mapishi
Au uoneshe matapish
Hata kama haupish
Mi napita haunitish

Na wala sifupish
Mi ni KIOO sio mbish
Wala hodi sibish
Naingia tu kibish

Wala siitaji dish
Wala sikufundish
Soma haya maandish
Straight siyapindish

Nakukunja zaid ya fish
Mi kwangu haijalish
Wala sikujulish
Njoo mbona unakish

Ishi,Siri sizivujish
We laini zaid ya Mish
Wala huniamasish
So,taji sikuvalish,wish...!

Call me KIOO,mi sio ibramadishi

wish matapishi mapish leo hapatoshi una mjua peter tosh?

mpe KIOO ajichek hizo hips

madhara ya kuku chips

Chinga One jasusi

mistari bila matusi

chenga kali kama mgosi

jilambe hilo lips?

njoo nikutoe kamasi.

yo yo anhaa....
 
Last edited by a moderator:
wish matapishi mapish leo hapatoshi una mjua peter tosh?

mpe KIOO ajichek hizo hips

madhara ya kuku chips

Chinga One jasusi

mistari bila matusi

chenga kali kama mgosi

jilambe hilo lips?

njoo nikutoe kamasi.

yo yo anhaa....

Simjui peter tosh
Mi namjua tosh
Wa kiraka iyo haitosh
Check,mi sipotosh

Ladha zangu azichosh
Mi,sivuti mosh
Thamani zaid ya posh
Nenda kameze Rosh

Bana pua kama Nyosh
Nyi kwangu hamnitosh
Ni kama pool table tu
Mkija napiga woooosh
 
Last edited by a moderator:
Simjui peter tosh
Mi namjua tosh
Wa kiraka iyo haitosh
Check,mi sipotosh

Ladha zangu azichosh
Mi,sivuti mosh
Thamani zaid ya posh
Nenda kameze Rosh

Bana pua kama Nyosh
Nyi kwangu hamnitosh
Ni kama pool table tu
Mkija napiga woooosh

Woshi mtindo wa car wash
unavaa kauoshi
wakati kwapa hauoshi

ha ha ha shiiiii
mistari michafu ipige polishi
mi katili wa rhymes kama askar wa kiscotish
Njoo wewe na na wengine na niki mbishi
mi komando jasusi mtu mmoja jeshi
kwa mistar hatar hamnipiku hata mtoe cash

ha ha ha usicheke sichekeshi.
wala sikutishi
mistari yangu ni kiwakilishi.
 
Woshi mtindo wa car wash
unavaa kauoshi
wakati kwapa hauoshi

ha ha ha shiiiii
mistari michafu ipige polishi
mi katili wa rhymes kama askar wa kiscotish
Njoo wewe na na wengine na niki mbishi
mi komando jasusi mtu mmoja jeshi
kwa mistar hatar hamnipiku hata mtoe cash

ha ha ha usicheke sichekeshi.
wala sikutishi
mistari yangu ni kiwakilishi.

Na0na mnachana vina shi shi,

Ngoja niwaelimishe kama kampen za ISHI,
Mpate kuISHI,

Kwa mistari mi ni Niki japo so mbISHI,

Nawachana kwa kiswaz
siwez kiinglISHI,

utunz wangu nazngtia matumz ya sarufi na kiambISHI,

Hamnitishi na taarabu zenu za Shilole SHI-SHI,
 
Na0na mnachana vina shi shi,

Ngoja niwaelimishe kama kampen za ISHI,
Mpate kuISHI,

Kwa mistari mi ni Niki japo so mbISHI,

Nawachana kwa kiswaz
siwez kiinglISHI,

utunz wangu nazngtia matumz ya sarufi na kiambISHI,

Hamnitishi na taarabu zenu za Shilole SHI-SHI,

Ntakupiga msasa bila kilainishi
Kabla sijaanza waite wapatanishi
We sio niki mbishi una fanana na mishi

Hauwezi kuchana unaweza mapishi
Nakupa ibada ya mashairi japo si daruweshi


Huniwezi kwa mistari hunitishi
njoo kwenye hiphpop battle haunibabaishi.
 
Ntakupiga msasa bila kilainishi
Kabla sijaanza waite wapatanishi
We sio niki mbishi una fanana na mishi

Hauwezi kuchana unaweza mapishi
Nakupa ibada ya mashairi japo si daruweshi


Huniwezi kwa mistari hunitishi
njoo kwenye hiphpop battle haunibabaishi.

Hata nikimwaga yote mistari haiiniishi,

ni mwendo wa digital
king'amuzi na dish,

unaflow kama vanessa
nd'o mana hutishi,

umevamia fani
Chinga One kauze fish,
 
Last edited by a moderator:
Hata nikimwaga yote mistari haiiniishi,

ni mwendo wa digital
king'amuzi na dish,

unaflow kama vanessa
nd'o mana hutishi,

umevamia fani
Chinga One kauze fish,
magnifico mzushi
Eti nikauze fish
Hujui ni mwalimu wa kitushi?

Uko softi zaid ya juisi unatafunika kama bablish

Niko fiti zaidi ya mchawi wa gambushi
Nakupoteza kwa ambush

Mc fasihi tafsiri kikamusi sio english

Sio mbritish kwetu masasi sio bush
Umechoka kuishi?
Njoo nikufanyie mazishi.




ll
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom