Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Baada ya Kimya kidogo,nakuja na kishindo cha maana/ ma emcee wadogo, kaka mkubwa nimerudi kama jana/ nani anajiita voil, nimekuja kukupima/ una andika ka girl, mjinga mjinga dima/ niki shine mtengwa, haniwezi shiny C/ me ndo jua niote upate vitamin C/ me sio vampire, so simuogopi snipa/ kimistari niko higher, dizaini ya nimekwea pipa/


Bado snipa nna bonge la kasi/
Hakuna wakunishusha Namba 1 bonge la nafasi/
unachana vipi na bado una wasi wasi/
Kaa mbali Snipa ntakupiga Risasi/

Unatamani kuwa mimi Unashindwa tu kusema/
Najua umedatishwa na Barz nnazo tema/
Hukweli ndo huu kamwe huwezi kudema/
Waambie wenzako Damond kakubali Nnachosema/
Na Habari mbaya kwako kaishaniachia Wema/

Snipa next level Najua kupanga barz/
Na sina huruma nna Roho ya kijambazi/
Kasome tena Mana huna hata Kazi/
Mtoto mdogo wewe ntakuvisha pampazi/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Kimya kidogo,nakuja na kishindo cha maana/ ma emcee wadogo, kaka mkubwa nimerudi kama jana/ nani anajiita voil, nimekuja kukupima/ una andika ka girl, mjinga mjinga dima/ niki shine mtengwa, haniwezi shiny C/ me ndo jua niote upate vitamin C/ me sio vampire, so simuogopi snipa/ kimistari niko higher, dizaini ya nimekwea pipa/
Yani naflow bila biti/
mana studio haina kiti/
nipo fiti na utafiti/
nipe siti nilawiti/
nakupa hamu si utam ka pipi ya kijiti/
vijana wapi nidhamu kutwa mnawaza matiti/
kimavazi mi ndo suti/
uwanjani mi ndo shuti/,
kipimo mi ndo futi/
kaa kimya huziwezi hizi ruti/

 
Mule mule/
wape shule/
freestyle wape bure/
wakileta matusi wageuze msukule/
mnajifanya mabisho ila madem wazee/
watoto wa kiume ila mnahongwa na mapedeje/
nitawasulubu kama Imran kombe/


Hommie still snipa am hit/
You still whack you can't flow without beat/
Next time you'll breed on your shit/
I've told you Viol hip hop you should quit/
I'am rich now i've Credit/
You still poor whilst you've debit/

Poor you viol snipa am still shine/
Am drunker wisky n wine/
I control dis game Still it's mine/
Am number one, viol you number nine/
Your self you can't atleast you should combine/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Sina cha obstacle, mistari ina wa over come/ hapa ni nako to nako, mpaka blue anatabasamu/ nawapanda ma emcee vigodoro usiku ushafika/ ya leo sifanyi tommorrow ndo maana nakubalika/
 
Naona madogo mmekojoa mmelala,mmeniacha hesabu nazinakokotoa namna gan ntawatawala,kamb naiteka nyara,simba nimevamia kw hofu mnatwetwa swala,bado cna mmbadala,namba moja mbele naongoza msafara,NYUMA MNAUNGA KAMA mabewa ya train,MKALI NAWAONGOZA TOP TEN,fani imewashinda iacheni,kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi wajameni,hata kwenye jahazi alijazama kisa hayupo captain,safar inaendelea na naohodha ni musa husseni,so chini pigen,kilimo kwanza nenden kalimeni,
ligi aijaisha ona ubingwa nshatangaza,mistar yangu inawapumbaza,hapa mmegonga kiwambaza,nawakimbiza vilaza,viol what's up my brother?
 
Nawaamsha amkeni, tayari kumepambazuka/ wafanyakazi chakarikeni, tukalijenge taifa/ wanafunzi someni, mchangamshe maarifa/ ukawa rudini bungeni, taifa linahitaji katiba/ madaktari mahospitalini, wagonjwa wanahitaji tiba/ wachungaji makanisani, raia wanaisaka toba/ wakulima leteni, nafaka magunia kwa viroba/ ma emcee vilingeni, tamu hizi tunadeliva/ wote tunataka amani, kama tunalindwa na kova/
 
Acha bange na viroba,
jamii unaishosha na mistar yako ya hang over,
vitz,noah,wap hamuwez shindana nami landlover,
all i nid is 1 maic lyk nas escoba,
my time is now lyk john cena/ mamluk wanakwenda mbio kwa uoga,
VERSE ZAKO FEK KAMA BIDHAA ZA KICHINA/huna viwango kubato nam umelikoroga,
nawakilisha wanangu wenye maisha mabovu mtaani,
hicho ndicho kilichonileta kwenye hii fani,
rudin bungen wapinzani,
hata kama refa wao msitie mpira kwapani,
serekali 3 haziwezakan
mbili zenye maboresho/ nazo m ninaiman,
achen siasa katiba n jambo special/punguzeni mizengwe yenu ya kwenye bunge la mama nani,
mrud bungen kabla aijafika kesho/msije ikosa kura yangu mwakani akitujaria manani,
mlichokifata zanz mtupe mrejesho/twaitaj kuwapa nnch wanzaziber maisha yao kama bado wanatawaliwa na sultani,
hata bara life ni vichekesho,watawala wanaruhusu tupigwe kama enzi za mjerumani,
bila nyie kushirik maboresho ya katba jua tz tunarud utumwan
 
Real man huwezi kujiita tunda/ boy kuliwa ni too bad zaid ya chunda/ najenga afya kwa diet iliyo balance/ me malenga wapya mziki haujanipa ridandans/ Sina heri na fanaka, haraka kwenye maisha/ me ndo ndoa ya mashaka, hafsa lazima upate presha/
 
,we n sub mpaka ntoke me first eleven,game likiwa gumu kwa kocha mi ndo solution,kama steven gelard na kitambaa cha ukaptain,m mkal wadau walishafanyaga conculusion,juu ya beat madin natema,nilishaonekanaga asubuh ntakuwa nyota njema,still nakaza buti sibwetek hata kama mkali wakisema,nakuchapa na hizi barz,zinazouma kama viboko vya fimbo ya muhanzi,
omba poo usije fia kwenye hii battle
your free to go ushashindwa nakuhukumu kipilato
hizi line zimekwenda vidato
hili goli nalifunga kiminyato
 
Maemc mnapata stress,

nikiingia kwenye jukwaa la vesi,

hebu kateni kwanza instrumento,

hapa mwendo acapela leta bato,

dawa ya m0to ni maji dawa ya moto c m0to,

we ni mdunguaji mviziaji,

hapa umekutana na karate za mr Miyagi,

nina uwezo wa kuflow mpaka basi,

fanya uwezavyo rap siachi,

*SOME PART OF TEXT MISSING*


h

nikupoteze kwenye game we mtoto,
 
Maemc mnapata stress,

nikiingia kwenye jukwaa la vesi,

hebu kateni kwanza instrumento,

hapa mwendo acapela leta bato,

dawa ya m0to ni maji dawa ya moto c m0to,

we ni mdunguaji mviziaji,

hapa umekutana na karate za mr Miyagi,

nina uwezo wa kuflow mpaka basi,

fanya uwezavyo rap siachi,

*SOME PART OF TEXT MISSING*


h

nikupoteze kwenye game we mtoto,


magnifico nilikusubiri sana we mnafki/
kwa punch fupi fupi kilele changu hufiki/
Nna verse hatari number one nime stick/
Una punch za kirembo zimekosa kiki/
waambie wenzako hakuna wakuzima huu mziki/

You should relax magnifico we kichwa maji/
Unatema pumba Huwezi pata ulaji/
Achana na gem acha kuforce kipaji/
unafanyia mziki pesa ulizopewa kama mtaji/
Sijafika hata chapter one hii bado dibaji/

Mchizi hauogi una full ukurutu/
Snipa punch kali zako bado butu/
Wenzako windows 8 we bado ubuntu/
Nimerudi tena sina huruma na mtoto wa mtu/

2014 inc (snipa)
 
Last edited by a moderator:
Usiniulize where I have been, aniniulizaga Rihanna/ new flavor kwa ma teen, SNIPA anainiita bonge la bwana/ hii ndo SAUTI nzito, YAKO lazima utaikana/ ni zaidi ya MAGNIFICO, hizi verse ninavyochana/ muite VOIL mtengeneze crew ndo mje kushindana/ king am back na hizi flava kama jana/
 
Pale Mtengwa,hapa snipa,hadi magnifico napita kati kama mesi,
naanza na magnifico mtengwa your next,
snipa kiusanii ji prepare 4 ur death,
uzito wao mdogo viol wambie wasaini kabisa nsije pata murder case,
 
snipa mtengwa SAUTI YAKO Viol

madem wanadata swagz tam ka pizza
haters zinawatesa ka yai viza
nishafika nyie mnaanza
mistar yenu lotion bado nawakimbiza
nshachoka kupasua saiz nachakaza
nawazoa fake mceez ka bull doza
chati napabda kwa spidi ka land kruza
mistar yenu ovyo ka vilaza
sina huruma nikishika mic vina nakoleza
shukeni chini niache juu mi ndo faza
 
Mtengwa is back..... Everybody say mtengwa is back............... I wanna hear you say king is back.................. Yoh yoh yoh. Been kimya for a while, wapuuzi mkatawala/ mbachao usiziache mbali, me ni bonge la msala/ hawanijui siwajui na bado wanajenga chuki/ me ndo pori la chui muwindaji toka nduki/ kwenye stop over, wa kimara mtatoka baruti/ me ndo range rover, sitishwi na ma emcee vistalet/ hii sio heaven on earth, wala heaven on deset kama kifesi/ machizi wananiita mrithi, after Albert Mangwea's death/
 
snipa mtengwa SAUTI YAKO Viol

madem wanadata swagz tam ka pizza
haters zinawatesa ka yai viza
nishafika nyie mnaanza
mistar yenu lotion bado nawakimbiza
nshachoka kupasua saiz nachakaza
nawazoa fake mceez ka bull doza
chati napabda kwa spidi ka land kruza
mistar yenu ovyo ka vilaza
sina huruma nikishika mic vina nakoleza
shukeni chini niache juu mi ndo faza


Mtoo shiny c Njo mistari ipo hapa/
Snipa am back we bado unatapatapa/
Mi bao moja ntakutoa we golikipa/
Level zako bado sio zakushindana na snipa/
waambie wenzako Mi ni snipa benjamin mkapa/

Una floo zaku unga unga/
Bangi mpaka madawa una jidunga/
Hebu cheki Nna verse hatari we mkunga/
Wa copy wengine snipa ntakufunga/
 
Last edited by a moderator:
Snipa ni malcom fake, kwa flow nakupiga X/ bei ya mkaa inanipiga jeki, sitoki nje ya box/ majanga yakimzidi snura, shilole komaa na jiji/ sharo uza sura, usipouzika rudi kwenu kimbiji/ nawapanga ma emcee, kama mafungu ya nyanya/ kwa hizi style ni ko free, sikiza ninachofanya/ nawatabiria mwisho wenu, kama ufunuo wa yohana/ mna rap kama wa mayenu, njoo niwafundishe kuchan/
 
mtoto wa bush toa gozi gozi mi simaind utozi namaindi kuchana simaind wasichana japo presenter wana bana nitatusua hata kwa kutoa flana nakamua mpaka dom ukimuona mkuu wa kaya mpe salam
 
muda,sasa umeada naona bora kusema,
kukaa kimya japo busara ila sasa,naona haina maana
kama Slaa,wanaofake kwenye game mi nawakanya,,
full confidence,legeza uone kukukata mbata sitohanya,,
anhhh!!!!
sikiliza bwana mdogo unayejiita mndengereko,
magnifico na wengine wote mi nawabeba bila mbeleko,
kichwa changu shule sahihi ya hiphop tupa mbali chereko,,,
nawapoteza kwenye galaxy na planet kama sayari ya pluto,,,
hamuwezi shindana na VIKOSI kwa mzani wengi bado wepesi zaidi ya puto,,
nakata miles,naitafuta heshima mbaka mitaa ya maputo,,
mi ndo majuto,sina bibi wala babu nashangaa mnaniita mjukuu,,,
sisikilizi la mkuu na nauhakika wa kutovunjika guu,,
fake kokote sio kwenye anga zangu mi nitakuchana tuu
snitch hana alama hata,mchizi wako we mwogope tuu
ruksa kubattle na mimi ila kama una high iquuu
huwezi basi lala ,ila kama una ,mistari basi,muda ndio huu,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom