Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
njoon kwenye hii thread mistar ya xmass zawadi karibuni wadau.
mimi ndo xmas father,chek najiweza,na hapa bila mic nateleza,to the top najikweza,ganja nakataza,whisk ipo kwenye friza,pembeni na mtoto Faiza,mida ya nyt ntampuliza, squirting naziweza,dudu atalisuza,mwisho ntamnyunyiza,hakika ntamliwaza,tena love bila feza wala alteza,.....njoon kwenye hii thread mistar ya xmass zawadi karibuni wadau.
mimi ndo xmas father,chek najiweza,na hapa bila mic nateleza,to the top najikweza,ganja nakataza,whisk ipo kwenye friza,pembeni na mtoto Faiza,mida ya nyt ntampuliza, squirting naziweza,dudu atalisuza,mwisho ntamnyunyiza,hakika ntamliwaza,tena love bila feza wala alteza,.....
Yeah yeah anhaa OKW BOBAN SUNZU
hip hop michano midundo ya kikauzu
father xmass bila mzuzu ha ha ha nacheka kizuzu
ni shangwe za xmass na mwaka mpya water falls dizain ya mkuzu
tupia pamba viwalo swaga za kijanja utazipata zizou
mistari hodari hatari mithili ya chenga za zidane zizu
muda wa swala ibada ila sina uzu.
heeh,heeh umenipa mzuka Chinga One,kwenye thread namba one,sijui we ni nani,ila uko vizuri kichwani,nakuvisha nishani,unachana ka KRS one,ubarikiwe mbinguni na duniani,hapa nipo dukani,na gift yako mkononi,ni mixtape ya msanii fulani wa marekani
ni Jay Z jiga man,black american don,he raps about money,and rumaz of freemason,and verse number ten,he diss Chris BrownHahahaa uhuu ni 2pac,jzee,notorius ila asiwe chriss brown
Baraka zako shukrani zifike Kwa Mola mbinguni
Hiphop hewani rap katuni kapuni
Ngoja niende saluni nikasafishe kichwani
Naisubiri kwa hamu mixtape ya kimarekani
Nitarudi humu ndani mida flani ya jioni.
usije ukawa dhaifu ka JK,safari everyday,kwa mchina kapanda bei,skendo escrow hatokei,simu hapokei,huku mafisadi wanatuinjoihii ni sauti ya raisi,iliyomshindaga ibilisi,kwa bnadamu c rahic,kamwambie asiyejuwa kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha, kuna eksi na zidisha,vichachee!!!
Ha ha ha gwijimimi sio dhambi sio kesi kupenda namba one,rapa mauno ni tusi kwa Chinga One,darasa huru bila kiruu sio kufuru,unaweza michano hebu nipe mfano...
Piga keleleeeee!!! Yo yo yo yo!!jamaa mi noma sana
nakuchana mpaka noma
sahau papaa ndama papaa jina umekutana na papaa vina
nachana sina mfano
katrina la vina nasomba marapa sina agano
natapika tindikali mi kungwin hatari kwenye somo
radha tamu kama nazama uvinza njoo ule utamu kama ngono
Piga keleleeeee!!! Yo yo yo yo!!
mamc walivyojaa humu ni kama movie ya expandable,mpira umefika mguuni kwangu nyanyuka ushangilie goal
tupo weng nakomba point Nying kama mgao wa chenge escrow
kiufund naikwepa mikuk mingi legendary naonyesha ukomandoo
shabiki wangu ndio bosi wangu sijisifu kama prof tibaijuka
rais akinitimua nikaumbuka
hii mistari inachomoka kama risas
na ni zawad kwa fans
Natia nyaya nyingi nite Papaa falcao
Reginald mistari mengi Tajiri/mfalme Wa vina kama farao
Natema vina vingi mpaka mwambao
Navyotema inaakula kwao
Mnalalama maisha magumu kwenye uchaguz hamjitokezi,mshefanywa vibaya eppa,dowans lakin hamjiongezi
mmechezewa sana tena hadharani escrow na bado wachina hawawatoshelezi
mnagawa vibaya hadi kwa rada mwingereza kalionja penz
nyie mama huruma mna huruma ya ajabu
shingo juu kama twiga rasilimali mmempa mwarabu
mmlawi mnyonge akikushika ziwa nyasa unampiga bila sababu
mmarekani maeneo kibao unampatia bila tabu
chenge mwanao mwenyewe amekugeukia kama mtoto wa mbuzi
rada,eppa,escrow anavuma kila shuzi
misala inawadondokea kina werema watoto wa juzipgg
jamaa mi noma sana
nakuchana mpaka noma
sahau papaa ndama papaa jina umekutana na papaa vina
nachana sina mfano
katrina la vina nasomba marapa sina agano
natapika tindikali mi kungwin hatari kwenye somo
radha tamu kama nazama uvinza njoo ule utamu kama ngono
hii ni sauti ya raisi,iliyomshindaga ibilisi,kwa bnadamu c rahic,kamwambie asiyejuwa kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha, kuna eksi na zidisha,vichachee!!!