Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Mtengwa mara snipa na wengne kwenye hii thread wanakuja bado,nawachachafya kimistar kama chenga za christian ronardo,kanzu nawavua nawavika,a town,rocky city nawashika,nan timamu nan chenga,kati ya snipa na mtengwa,acheni kuchonga ngenga,bifu za nin wakat lengo letu umoja kuujenga,mtengwa umekuja pupa utomaliza hii league vzur kama team ya babu wenger,snipa n muda wangu wa kuongoza hii thread muda wako umeisha kama leodinary tenga,
 
Unataka raha tu, sio lazima uende kwa AY/ njoo kwangu tu, andaa na KY/ kwa nyuma nikikuona nawaza nikupige miti/ najikuta nimesimama ka abiria aliyekosa siti/ njoo nikukaze kama simu iliyolegea nati/ ila usitangaze nikikupa kitu super ka umekosa shaft/
 
Me ndo homa ya jiji, hadi Mecky ameSadiki/ natofautiana na Fidi, kwenye kuhitaji marafiki/ ukilala Mika, hauwezi kuamka Mwamba/ mtoto wa mjini nafahamika, sikuja mjini la lori la pamba/ me ndo new king, kwenye jamii forum/ niko so speed, kwenye battle na gain momentum/
 
Viol, shiny c, SAUTI YAKO, mtengwa

imefikia hatua hadi mmeitana/
mnaungana nia yenu snipa kumchana/
mnaandika pumba mistari inafanana/
Snipa mi natisha mbona imeisha julikana/
watoto nyie wachawi mnawanga mchana mchana/
Naona idadi inaongezeka tofauti na jana/

Snipa bado mi ni emcee mwema/
Msha cheki barz nnazo tema/
sio nyie vi mistari viwili tayari mnahema/
Snipa naandika Reality bado mnadema/
Kwa mistari mpaka nimepewa chanda chema/

Mnaandika pumba Mnajitoa ufahamu/
naona mpo watano nyie wanaharamu/
Mwaka huu snipa ntamtoa mtu damu/
Bado nawa ahidi ntazidi kuwapeni mistari mitamu/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Unataka raha tu, sio lazima uende kwa AY/ njoo kwangu tu, andaa na KY/ kwa nyuma nikikuona nawaza nikupige miti/ najikuta nimesimama ka abiria aliyekosa siti/ njoo nikukaze kama simu iliyolegea nati/ ila usitangaze nikikupa kitu super ka umekosa shaft/

mamaeeeeeeee....umeuaaaa!!!
 
Nina mahiri hoja, snipa niombe msamaha/ niko mbele maili moja, ukinitaka nifate kibaha/ Kibonde utaongoza jahazi, nikishuka Captain/ zingua nikutukanie mzazi, uone how does it pain/ nawapaisha masikini kama promotion za fast jet/ mweusi mpaka meno sina undugu na white dent/ flow zako zinatambaa, zangu zimesimama dede/ nakupa ruksa kushangaa, ka umemeet mzungu anaepiga debe/ smart don nang'aa bila ya smart phone/ flow kama wayne, nawakimbiza ki Roneey/ snipa mganga wa jadi, huwezi jua my destination/ me ni mjanja wa padi, na play kila station/

Naumia kijana unapotea kisa Bangi/
Kichwani huna elimu hata ya shule ya msingi/
Umri unakimbia jiandae kuitwa Dingi/
Utalisha nini familia katafute mashangingi/

Waambie wenzako snipa mi ni msindi/
Bado kidogo nitangazwe mshindi/
mtengwa rudi kwenu ukalime mahindi/
Unashangaa kauze sura kwa wahindi/
Mi ndo maisha skia nakupiga pindi/

Bado Unaandika Rhymes Fupi/
Maisha yamekubana unakunywa chai na pipi/
mi ndo super tall kijana we bado mfupi/
waambie wenzako snipa kanitoa nduki/

Waite wakali wote unaowajua/
Mkija kizembe snipa nitawaua/
Snipa mi natisha moyoni umeishatambua/
Snipa legendary we bado hujakua/

snipa
 
Last edited by a moderator:
Unataka raha tu, sio lazima uende kwa AY/ njoo kwangu tu, andaa na KY/ kwa nyuma nikikuona nawaza nikupige miti/ najikuta nimesimama ka abiria aliyekosa siti/ njoo nikukaze kama simu iliyolegea nati/ ila usitangaze nikikupa kitu super ka umekosa shaft/

Nataka nkuhemee bibie acha uoga,taratibu ntajilia kiboga,chek kwanza masikio ulivyotoga,jf sasa imevamiwa na mashoga,nyuma napenda ulivyojaza,njoo gheto nile hiyo haja,pimbi hauna mistari zaidi ya matusi,sura imekujaa chunusi,peku peku sikugusi,nsije pata virus,
lugha chafu azitakiw jf badilika bi harusi,
nsije pigwa ban sababu yako wakat ufikii ata uzur wa tausi
 
Naumia kijana unapotea kisa Bangi/
Kichwani huna elimu hata ya shule ya msingi/
Umri unakimbia jiandae kuitwa Dingi/
Utalisha nini familia katafute mashangingi/

Waambie wenzako snipa mi ni msindi/
Bado kidogo nitangazwe mshindi/
mtengwa rudi kwenu ukalime mahindi/
Unashangaa kauze sura kwa wahindi/
Mi ndo maisha skia nakupiga pindi/

Bado Unaandika Rhymes Fupi/
Maisha yamekubana unakunywa chai na pipi/
mi ndo super tall kijana we bado mfupi/
waambie wenzako snipa kanitoa nduki/

Waite wakali wote unaowajua/
Mkija kizembe snipa nitawaua/
Snipa mi natisha moyoni umeishatambua/
Snipa legendary we bado hujakua/

snipa

Kidume mandingo, napiga miguu ya shingo/ we mcheza alingo, sio jaky kwenye poti me msaka bingo/ kwenye ulingo, naua kimya kimya mithili ya kingo/ sina maringo, ila nawaacha wazi kama pengo/ nasimama kitengo, korea kaskaz mrengo/
 
Last edited by a moderator:
mamaeeeeeeee....umeuaaaa!!!

chunga majigo,na we nsije kula tigo,tukifurahia matus tutapigwa ban kwa snipa itakuwa pigo,
mchzi si great thinker
humu jf ni jogoo la shamba linaloforce tu kuwika
nipe 5 tofaut na we nataka kuzizika
tumsaidie mtengwa aache matus tumsaidie kubadilika,
mambo ya america
asilete huku kwetu africa
siwez kukula mambo ulisapot upuuz nam nikaghafirika,
maic naishusha chin kama moran mkuku aridhin anauyousimika
 
. SAUTI YAKO it sound kama Loveness Love/ niliposikia we ni me nimecheka sina mbavu/ mtengwa shamba kubwa sitishwi na misukoko/ we unaandika pumba kwangu huna ujiko/ nina uwezo solo, za G ama thang/ wako mfupi ka emolo, huwezi ninavyo bang/ when mfalme I am hea, wenzio wanagwaya/ ntakupa ofa ya bia, ukinishinda when am on fire/
 
Kidume mandingo, napiga miguu ya shingo/ we mcheza alingo, sio jaky kwenye poti me msaka bingo/ kwenye ulingo, naua kimya kimya mithili ya kingo/ sina maringo, ila nawaacha wazi kama pengo/ nasimama kitengo, korea kaskaz mrengo/

Unanikera kuandika mistari mifupi/
Unaandika kama mtoto ntakupa pipi/
unacho andika sijakiona sijui kipi/
Ukinichana tena nikiamua sikulipi/
emcee anaeuzi ni mwenye mistari mifupi/

Nishakwambia we ni fake emcee/
Unaandika mistari utadhani jay dee/
Ulivyo Mrembo sauti kama suma lee/
waambie wenzako Snipa the Real emcee/

Nasisitiza hutoweza kumfikia snipa/
unajifanya huoni Rhymes nnazokupa/
Utapotea kwenye gem kama athuman machupa/
Nenda ukirudi tena ntakupia Chupa/

We mtoto wa Arachuga au Mbagala?/
mana unavyo chana nahisi ujala/
times ni bora ukaenda kulala/
snipa Sasa ntaanza Kupiga mihela/
Mwambie Kim nana nishakuwa Serengeti boy wa Kajala/

snipa
 
Last edited by a moderator:
me ni smart, nimechange toka B.O.L/ kwenye hatakati, nawatuliza kama B.A.L.L/ kiswahili safi, kama nimesoma H.K.L/ snipa haunipati, kabla ya kuanza usha F.A.I.L/ unaniombea mabaya, nigga go to H.E.L.L/ nawapa za taya, wakiniona wanakua I.L.L/ niko on faya, me ndo new JF D.E.A.L/
 
Sion cha kugwaya,wakat kwenye game umekuja juz juz kama nakaya,Mwana mtoka pabaya,Nyosha mapito yako kama nabii isaya,hip hop naimilik hii himaya,mtengwa njoo kichwa kichwa nkuvunje taya,
 
imefikia hatua hadi mmeitana/
mnaungana nia yenu snipa kumchana/
mnaandika pumba mistari inafanana/
Snipa mi natisha mbona imeisha julikana/
watoto nyie wachawi mnawanga mchana mchana/
Naona idadi inaongezeka tofauti na jana/

Snipa bado mi ni emcee mwema/
Msha cheki barz nnazo tema/
sio nyie vi mistari viwili tayari mnahema/
Snipa naandika Reality bado mnadema/
Kwa mistari mpaka nimepewa chanda chema/

Mnaandika pumba Mnajitoa ufahamu/
naona mpo watano nyie wanaharamu/
Mwaka huu snipa ntamtoa mtu damu/
Bado nawa ahidi ntazidi kuwapeni mistari mitamu/

snipa

we dogo snipa hi hi h.i.p
sio mchezo wa kucopy
kupestisha huku ka photocopy
testi onyesha uwezo ka huwez kauze pipi
vna vyako vya madem hata havilipi
hata ukipiga ganja we ni akili fupi

ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
yangu mistari michache quality ka almasi
snipa unatoa barz zimejaa non-sense
washkaji wana kiu ya mistari wananita pepsi
labda tuanze vita nyingine yakujua nani ana kifesi
so kafanye scrub unichek ukitoa hizo chunusi
 
nimetia timu mbona mnaaga/
au mmebwaga manyanga/
ndo naanza dibaji kinagaubaga/
kwenye game hi bado nye ni wachanga/
wekeni bayana/
sina hiyana/
wote nawachana/
nilieleza tangu jana/
pua mnaba/
eti snipa kumbe mgambo/ mtengwa nakugeuza chambo/
tumieni vichwa si kupendezesha umbo/
msilete upu.zi wa kina bambo/
kwa matambo hamjambo/
ngoja niwapeleke chimbo/
jileteni niwalambe kama mbilimbi/
graride hima nimepiga filimbi/
acheni upimbi/
ngome ya upinzani nimeweka kambi/
fake mcz mkalime magimbi/
 
Last edited by a moderator:
Mule mule/
wape shule/
freestyle wape bure/
wakileta matusi wageuze msukule/
mnajifanya mabisho ila madem wazee/
watoto wa kiume ila mnahongwa na mapedeje/
nitawasulubu kama Imran kombe/
 
Baada ya Kimya kidogo,nakuja na kishindo cha maana/ ma emcee wadogo, kaka mkubwa nimerudi kama jana/ nani anajiita voil, nimekuja kukupima/ una andika ka girl, mjinga mjinga dima/ niki shine mtengwa, haniwezi shiny C/ me ndo jua niote upate vitamin C/ me sio vampire, so simuogopi snipa/ kimistari niko higher, dizaini ya nimekwea pipa/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom