Muda gani ni sahihi kufanya mapenzi?

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
275
173
Kuna Bwana mmoja ameoa. Bwana huyo ni mfanyakazi wa ofisi moja ya serikali na mkewe ni mama wa nyumbani:

Habari kutoka kwenye chanzo cha umbeya zinasema kwamba:

Bwana huyo hufika nyumbani akitokea kazini mida kama ya saa kumi na moja jioni hivi. Akifika tu humwita mkewe chumbani kwa ajili ya kufanya mapenzi. Zoezi hilo ni la jioni ukiachana na shughuli ya usiku ambayo huwa nzito zaidi.

Kinachomuuma mwanamke huyo ni kwamba anaweza akawa anapiga stori na mashoga zake nje. Mmewe akifika tu anaita "mama nanii!". Mwanamke huyo akiingia tu ndani hawezi kutoka tena nje. Mwanzoni mashoga zake walikuwa wanashindwa kumwelewa lakini ikawabidi wazoee. Siku hizi wakiona Baba fulani anarudi kutoka kazini wanajua muda wa kazi tayari hivyo kikao chao inabidi kiishe kwa sababu mwenyeji wao inabidi akafanye majukumu ya kindoa.

Sasa wana JF, naomba kuuliza kama hicho kitu na sahihi au inatakiwa kuwe na specific time kwa wanandoa kufanya mapenzi!
 
Kama siyo mwizi muda na saa yeyote waweza fanya. Mapenzi ya usiku ndio yanazalisha watoto wasio na akili; ukijisikia mchana fanya na mtoto atazaliwa mwenye akili. Kama unasafiri fanya kuanzia saa 9 au 10 alfajiri ili kuuchosha mwili; utauchapa usingizi kuanzia safari inaanza hadi unafika ONYO usipande magari yenye historia ya ajali
 
Si useme tuu ni wewe
Haya ya kwenda kumchunguza mke wa mtu akiingia ndani tuu ni shughuli inaanza sidhani kama ina hold
hata kama ni mke hawezi kuja kusema kuwa kila mume akirudi ni shughuli inaanza
inawezekana wana mambo yao wanayaongea
 
Aiiii sasa mpaka majirani wanajua time zao za kufanya mbona haijakaa sawa???? Lakini hakuna muda maalum sema ndo hivo hakuna usiri tena maana jirani/mashosti wa mke wanafahamu
 
Si useme tuu ni wewe
Haya ya kwenda kumchunguza mke wa mtu akiingia ndani tuu ni shughuli inaanza sidhani kama ina hold
hata kama ni mke hawezi kuja kusema kuwa kila mume akirudi ni shughuli inaanza
inawezekana wana mambo yao wanayaongea

Hizi ni habari kutoka kwa rafiki mmoja wa karibu wa mwanamke huyo!
 
Ahh!!! Mkuu hakuna muda maalumu wa kudinha saa yoyote mambo yakidi nda na my wife yako yuko fresh unaomba mzigo
 
Hizi ni habari kutoka kwa rafiki mmoja wa karibu wa mwanamke huyo!

Hakuna muda sahihi muda wowote tuu ukijisikia fanya mambo yako
na hao mashoga zake kukaa kwa mwenzao mpaka muda wa mume kurudi kwani hawajui time bana wakishaona jamaa anakaribuia kurudi wajiondokee tuu
 
Acha saa kumi na moja mie hata saa nne kama wife fresh, mambo ya msosi yatajiseti baadae
 
saa nane na robo usiku hadi sa tisa kamili usiku, muda muafaka kabisa huo, dakika arobaini na tano tosha kabisa
 
topic kama hii ilikuwa ikijadiliwa kiss fm leo asubuhi
THE MORNING KISS
My name is Salome. Something is bothering me about my fiancee. He always insist that whenever we make love, we have to do it during the day. He doesn't want us to make love at nite cause he says afterwards he doesn't get any sleep at all. Whenever we get cosy at nite, he ends up stayin awake all nite. But for me, i don't like the idea of love making during the day. How do i solve this?
 
Kuna Bwana mmoja ameoa. Bwana huyo ni mfanyakazi wa ofisi moja ya serikali na mkewe ni mama wa nyumbani:

Habari kutoka kwenye chanzo cha umbeya zinasema kwamba:

Bwana huyo hufika nyumbani akitokea kazini mida kama ya saa kumi na moja jioni hivi. Akifika tu humwita mkewe chumbani kwa ajili ya kufanya mapenzi. Zoezi hilo ni la jioni ukiachana na shughuli ya usiku ambayo huwa nzito zaidi.

Kinachomuuma mwanamke huyo ni kwamba anaweza akawa anapiga stori na mashoga zake nje. Mmewe akifika tu anaita "mama nanii!". Mwanamke huyo akiingia tu ndani hawezi kutoka tena nje. Mwanzoni mashoga zake walikuwa wanashindwa kumwelewa lakini ikawabidi wazoee. Siku hizi wakiona Baba fulani anarudi kutoka kazini wanajua muda wa kazi tayari hivyo kikao chao inabidi kiishe kwa sababu mwenyeji wao inabidi akafanye majukumu ya kindoa.

Sasa wana JF, naomba kuuliza kama hicho kitu na sahihi au inatakiwa kuwe na specific time kwa wanandoa kufanya mapenzi!

SWALI!!
wewe unaeuliza ni wakiume au wa kike?. umeo au umeolewa?
 
katika ndoa hakuna muda wowote muafaka wa tendo la ndoa ... kwa huyo mwanamke alitakiwa ajue mume anataka nini na afanye maandalizi kuliko kulazimisha kukaa na mashoga hadi aitwe .. maana angeweza kuwaambia hao mashoga zake muda wa mr kuja umekaribia ngoja nikamwandalie chakula sasa kama yeye alishindwa basi mume lazima avae kofia yake
 
Back
Top Bottom