Muda gani ni sahihi kufanya mapenzi?

sasa huyu jamaa huwa hafanyi kazi huko? yeye anawaza tendo tu wakati wote! mwambie ahamie kampuni binafsi kama ataweza kuwaza tendo wakati huo,,,kwa kawaida muda mzuri ni usiku kuanzia sa4 hadi sa11 alfajiri muda huo huwa pametulia
 
Kuna Bwana mmoja ameoa. Bwana huyo ni mfanyakazi wa ofisi moja ya serikali na mkewe ni mama wa nyumbani:

Habari kutoka kwenye chanzo cha umbeya zinasema kwamba:

Bwana huyo hufika nyumbani akitokea kazini mida kama ya saa kumi na moja jioni hivi. Akifika tu humwita mkewe chumbani kwa ajili ya kufanya mapenzi. Zoezi hilo ni la jioni ukiachana na shughuli ya usiku ambayo huwa nzito zaidi.

Kinachomuuma mwanamke huyo ni kwamba anaweza akawa anapiga stori na mashoga zake nje. Mmewe akifika tu anaita "mama nanii!". Mwanamke huyo akiingia tu ndani hawezi kutoka tena nje. Mwanzoni mashoga zake walikuwa wanashindwa kumwelewa lakini ikawabidi wazoee. Siku hizi wakiona Baba fulani anarudi kutoka kazini wanajua muda wa kazi tayari hivyo kikao chao inabidi kiishe kwa sababu mwenyeji wao inabidi akafanye majukumu ya kindoa.

Sasa wana JF, naomba kuuliza kama hicho kitu na sahihi au inatakiwa kuwe na specific time kwa wanandoa kufanya mapenzi!

anytime kama mtu unampenda na ankupandisha ashiki ya kudo
 
anytime hata kama ulikuwa unapika ipua chungu muendelee neno la Mungu linasema mpeane msinyimane, na pia mwanamke hana amri juu ya mwili wake isipokuwa mumewe na mwanaume vilevile hana amri juu mwili wake isipokuwa mkewe, Angalizo kwa wanandoa waliohalalishiwa na Mungu
 
Hamna muda maalumu huwa inafanyika kwa kadiri inavyowapendeza wahusika.Hamu ikija hapo hapo mnashusha vitu!
 
Muda mwafaka hasa ni kuanzia saa nne usiku na alfajiri ya saa kumi na nusu. Ila kwa joto kama la Dr sijui inakuwaje jioni ya saa kumi na moja
 
....aiseeh!... haka ka swala ni kazito, kama vp na kenyewe 2taangalia ni jinsi gan ya kukaingiza kwenye kakatiba ke2 kapya ili kaspecfic tym kapangwe....
teh-teh-teh!... jst jokin' wajameni....
 
Mmmh hata kama ni ndoa shughuli ipo.

mbona unaguna...
usighairi kuolewa, kwenye ndoa kuchakatwa ni kitu cha kawaida tu...
wenzako waume zao wakirudi kazini wanaulizwa wanaanzia wapi??kuchakatana/chakula/kuoga??
kazi ni kwako...sb
 
Back
Top Bottom