Muda gani ni sahihi kufanya mapenzi?

Muda gani ni sahihi kufanya mapenzi?

ila jamaaa amuachie awe anapumnzka bana anashindana na alipotokea ataweza
 
huyo mdada au mke wa mtu anaonekana hajatulia ndio wale wavunjao ndoa zao kwa mikono yao kwani mavituzi ni mipango ambayo wanapanga wenyewe kama hayuko tayari kwa wakati huo wanakaa chini na jamaa yake na kupanga huyo anajali mashoga kuliko mumewe mashoga zake wanamharibu tena anadiriki hata kwenda kuwaambia mambo anayofanya na mume wake ndani mapenzi raha bwana sio ugomvi au watu wakiwa pale wanafurahia sio ngumi zile sasa yeye ananuna tena hajatulia huyo
 
Kama siyo mwizi muda na saa yeyote waweza fanya. Mapenzi ya usiku ndio yanazalisha watoto wasio na akili; ukijisikia mchana fanya na mtoto atazaliwa mwenye akili. Kama unasafiri fanya kuanzia saa 9 au 10 alfajiri ili kuuchosha mwili; utauchapa usingizi kuanzia safari inaanza hadi unafika ONYO usipande magari yenye historia ya ajali
🤣🤣🤣
 
Hayanaga ratiba wala hayana muongozo . Muda wowote piga hata kama ni bafuni piga ilimradi tuu usiibe
 
Back
Top Bottom