Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,604
- 3,163
Jamani si mngengojea pombe zitoke kichwani ndipo mje humu? sasa hata sijui ni kitu gani umepost humu!
Pumba tupu!!!!
Zubeda,
Kama hujamuelewa, muulize akueleze kwa undani alichoandika mwenzako badala ya kukimbilia kusema alichoandika ni pumba au kalewa!!! Kama hauko kazini, basi nina wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa!!!!
Tiba