Mubarak refuses to stand down

Mubarak refuses to stand down

not confirmed yet,he will adress the nation tonight.If ur source is correct then he will be addressing while in exile
 
Hizo source zako hazina tofauti na Tanzania Daima, au Mwanahalisi! Mubarak yuko Misri na atahutubia Taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama tawala cha Misri! na sasa naangalia live Aljazeera English hakuna hicho unachokipakazia! angalia hapa: Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English

Na hii issue haina uhusiano wowote na TZ! sisi tunayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi na sio haki kulinganisha Utawala wa Egypt chini ya Hosni Mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!

Sisi katiba yetu hairuhusu Rais kutawala zaidi ya miaka 10! na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama Egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! TZ uhuru huo upo ndio maana magazeti kama Mwanahalisi yanaweza kumuita Rais Jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!

Hivyo msichanganye mambo! h
 
The privately owned Al-Yawn Al-Sabi newspaper in Egypt says "well-informed sources" in state TV have told them Mr Mubarak will give a speech at 10pm (2000 GMT) to announce his resignation - but there has not yet been any official confirmation.

Habari zaidi fuata hii link
BBC News - Egypt unrest

Kama kuna WELL INFORMED SOURCES, sasa official confirmation ya nini? Jamaa atakuwa kashaanzisha huyo. Ukiona hotuba yake, jua ni kama za Osama, za kurekodi!
 
Upepo huo kuvuka sahara ni kazi sana. Shida ni moja tu: Weusi tuko waoga sana kwa mabomu na bunduki. Tunaona afadhali tuwe hai lakini tuteseke, ikiwezekana tufe na mateso hayo kuliko kuwakabili viongozi wabovu.
No hapana!
Sisi ni wakali sana na tuna hasira usipime!.
Unaweza ukacheza sana na petroli mpaka ukadhani ni kama maji tu hamna kitu, sababu hakijapatikana kiberiti.
Yaani itakapotokea Cheche moja tu hapa
Utashangaa!
 
Hakuna kitu hapa! labda kitakachotokea ni sisi kukatana mapanga kama wenzetu kule Rwanda kumbuka 1994!!!!
 
Jaribu kuelewa kilichoandikwa hasa kwenye source yako ya kwanza. "First reports from Egypt claim President Hosni Mubarak has already left the country on a private jet heading towards Europe. These are still unconfirmed rumours, strengthened by his failure to appear on TV as announced".
 
naangalia aljazeera now na rais mubaraka anatarajiwa kuongea na taifa soon, au ataongelea akiwa London, nina wasiwasi na source yako

Hata mimi naangalia Aljazeera wote tunamsubiri atangaze kuachia ngazi. Ila ukweli ni kwamba atatangaza kujiuzulu akiwa karibu na uwanja wa ndege ambako kuna ikulu yake. Nafikiri anafanya hivyo ili akimaliza hotuba akimbilie kwenye ndege. Hii ni kwa mujibu wa MSNBC
 
Egypt's Presindent Hosn Mubarak is to make an address on national television, amid suggestions that he is preparing to step down.
A senior member of Egypt's governing party, Hossan Badrawi, told the BBC
 
Tatizo la tetesi ni sawa na umbea! Utajikuta roho juu for no reason! Akiachia ngazi si tutajua tu! Au mtu unataka uwe wa kwanza kujua na kutuhabarisha?? Wengine tunaangalia Aljeera kwenye StarTV tunaleta habari!!
 
Hizo source zako hazina tofauti na Tanzania Daima, au Mwanahalisi! Mubarak yuko Misri na atahutubia Taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama tawala cha Misri! na sasa naangalia live Aljazeera English hakuna hicho unachokipakazia! angalia hapa: Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English

Na hii issue haina uhusiano wowote na TZ! sisi tunayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi na sio haki kulinganisha Utawala wa Egypt chini ya Hosni Mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!

Sisi katiba yetu hairuhusu Rais kutawala zaidi ya miaka 10! na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama Egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! TZ uhuru huo upo ndio maana magazeti kama Mwanahalisi yanaweza kumuita Rais Jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!

Hivyo msichanganye mambo! h

Ah Kidumu ... wakiingia humu dah inakuwa taaabu kwelikweli, wakati mwingine afadhanli hata hawa wenzetu wa People's ..., any way sasa Tumeonyeshwa sehemu Mubarak atakaposimama kuhutubia, sioni cha ajabu pakiandikwa Live kwenye kona wakati ni Mkanda, hizi ni kazi za wenzetu waliopelekwa kusomea propaganda na kuzitumia kuhadaa uma ili kuufanya uamini kile mtawala anachotaka... kwa maslahi ya usalama wa....
 
Jamaa anaweza kukabidhi madaraka kwa jeshi,hotuba yake iko recorded,anasemekana anaweza kuwa yuko misri
 
kwanini wanaCCM wanaogopa Mubarack alivyoangushwa? Kwa mtini wajifunze.
 
Ah Kidumu ... wakiingia humu dah inakuwa taaabu kwelikweli, wakati mwingine afadhanli hata hawa wenzetu wa People's ..., any way sasa Tumeonyeshwa sehemu Mubarak atakaposimama kuhutubia, sioni cha ajabu pakiandikwa Live kwenye kona wakati ni Mkanda, hizi ni kazi za wenzetu waliopelekwa kusomea propaganda na kuzitumia kuhadaa uma ili kuufanya uamini kile mtawala anachotaka... kwa maslahi ya usalama wa....

Jamani si mngengojea pombe zitoke kichwani ndipo mje humu? sasa hata sijui ni kitu gani umepost humu!
Pumba tupu!!!!
 
Hizo source zako hazina tofauti na Tanzania Daima, au Mwanahalisi! Mubarak yuko Misri na atahutubia Taifa usiku huu huenda akaachia madaraka kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama tawala cha Misri! na sasa naangalia live Aljazeera English hakuna hicho unachokipakazia! angalia hapa: Al Jazeera English: Live Stream - Watch Now - Al Jazeera English

Na hii issue haina uhusiano wowote na TZ! sisi tunayo Serikali iliyochaguliwa na Wananchi na sio haki kulinganisha Utawala wa Egypt chini ya Hosni Mubarak alie tawala nchi hiyo miaka zaidi ya 30 sasa!

Sisi katiba yetu hairuhusu Rais kutawala zaidi ya miaka 10! na nchi yetu ni ya vyama vingi sio kama Egypt huko hakuna demokrasia wala uhuru wa vyombo vya habari! TZ uhuru huo upo ndio maana magazeti kama Mwanahalisi yanaweza kumuita Rais Jakaya kuwa ni mwizi na fisadi!

Hivyo msichanganye mambo! h

Ah Kidumu ... wakiingia humu dah inakuwa taaabu kwelikweli, hawajui kushukuru wanapenda kushukuriwa cheki kwenye status yake... wakati mwingine afadhanli hata hawa wenzetu wa People's ..., any way sasa Tumeonyeshwa sehemu Mubarak atakaposimama kuhutubia, sioni cha ajabu pakiandikwa Live kwenye kona wakati ni Mkanda, hizi ni kazi za wenzetu waliopelekwa kusomea propaganda na kuzitumia kuhadaa uma ili kuufanya uamini kile mtawala anachotaka... kwa maslahi ya usalama wa....
 
Jamani si mngengojea pombe zitoke kichwani ndipo mje humu? sasa hata sijui ni kitu gani umepost humu!
Pumba tupu!!!!

Zubeda, acha jazba, hayo ni ya Misri unadhani chama chako kitakumbwa na haya kwa sasa? Watanzania ni wapole sana ukiwapiga mabomu ya machozi tu wanaingia mitini hawakufuati, ukiwapiga risasi ndo kabisaaaa, sasa wenzetu hata kujilipua wanajilipua... Usihofu ila ni vema kuona jinsi gani kama chama chochote kitamisbehave chochote kile, kinavyoweza kuhukumiwa na watu wenyewe, kwa ufinyu wako mpana unaongelea habari ya miaka 30 unadhani kama Wamisri wangeweka hoja ya miaka 30 wangeshinda? Sidhani kama unafuatilia hali ilivyo... hoja ni ulevi wa madaraka na uongozi mbovu... sio utawala...
 
Back
Top Bottom