Mubarak refuses to stand down

Mubarak refuses to stand down

This is indeed a very fluid situation. It seems now that they military might step in during this transition period. At least they seem to have stopped Mubarak to make an announcement.
 
The Army will take over!!! Source: CNN
 
Fisadi Kikwete is Next, tujipangeni Watanzania wenzangu tupangeni tarehe na tuuhamashishe umma :twitch:
Endelea kujidanganya. Lakini ungeanza kumhamasisha mama yako kwanza kisha uje utueleze amerespond namna gani. Then we shall supot u.
 
Mkuu angalia ulichoandika kabla ya kurukia keyboard. Upo kwenye International news hapa.
Seriously now, Hawa jamaa wangemwacha Mubarak kidogo halafu wakamwendesha kutimiza matakwa yao ndani ya muda mfupi, maana alikuwa tayari kutimiza wanachotaka. Yaani hata haoyo mabadiliko yangeenda fasta....maoni yangu tu nionavyo. Sasa atakayekuja mpaka atimize wanayotaka ni kazi sana, ukichukulia jinsi hali ya kisiasa ilivyo
 
Upepo huo ukivuka sahara desert hooooooooodi tz!!

Upepo huo kuvuka sahara ni kazi sana. Shida ni moja tu: Weusi tuko waoga sana kwa mabomu na bunduki. Tunaona afadhali tuwe hai lakini tuteseke, ikiwezekana tufe na mateso hayo kuliko kuwakabili viongozi wabovu.
 
Upepo huo kuvuka sahara ni kazi sana. Shida ni moja tu: Weusi tuko waoga sana kwa mabomu na bunduki. Tunaona afadhali tuwe hai lakini tuteseke,
ikiwezekana tufe na mateso hayo kuliko kuwakabili viongozi wabovu.
Umenena mkuu, weusi wanajua kubana pua na kujipendekeza, majungu, fitina na uchawu
 
The privately owned Al-Yawn Al-Sabi newspaper in Egypt says "well-informed sources" in state TV have told them Mr Mubarak will give a speech at 10pm (2000 GMT) to announce his resignation - but there has not yet been any official confirmation.

Habari zaidi fuata hii link
BBC News - Egypt unrest
 
Fisadi Kikwete nae tunamuondoa lini maana anazidi kufanya ujinga na upumbavu kwenye serikali huduma zote zinazorota:A S 20:
 
makamu wa rais Suleiman Omar kateuliwa wiki juzi tu na Mubarak, sasa atapata wapi uhalali wa mamlaka? Mana hakuchaguliwa na wananchi kwa pamoja na Mubarak! Jeshi likichukua ni sawa ili kusimamia serikali ya kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mkuu! Na kiukweli chama cha Mubarak kitaivuruga sana Misri!
 
Asante kwa taarifa ingawa bado kupata uhakika hata CNN, ALJAZEERA sasa PRESS TV wamesema kweli huyupo na hotuba itatolewa kwa Tape (mkanda uliorekodiwa)
Kwa hiyo source zako bado kwa uhakika
Egyptian President Hosni Mubarak has left Egypt on a private jet headed for London, Arabic-language Akhbar al-Arab reported. . In a separate report, MSNBC reported that 9 to
The news has not been a verified. The Akhbar al-Arab hosted in the United States earlier in the week published unconfirmed reports that Mubarak's son Gamal had fled to the United Kingdom10 luxury sedans accompanied by large security details arrived at the Cairo airport and were loaded onto three planes that then took off.
 
Natazama aljazeera sasa hivi, bado wanatangaza kwamba Mubarak atahutubia taifa muda wowote
 
Kazi iliyobakia ni ya kumwondoa Kikwete, Lowassa na Rostam kwa mtindo kama wa Wa-Misri.
 
nina wasiwasi na source c reliable niko live na sky news na cnn...hakuna kitu kama hicho hata kwenye tetesi jamaa yupo misri bado till further habari...lets wait hotuba yake..
 
Back
Top Bottom