Mubarak refuses to stand down

Egyptian Official says that the Protesters have won.
poor Egyptian....have won? :twitch:
Hivi maandamano haya yoote lengo tu Mubarak atoke? Mi nilidhani walikuwa na vya msingi...whoops!
Kwa hiyo hata mambo yakizidi kuwa ovyo, maadam Mubarak kajiuzulu shukran? Poor Egyptians!
 
We have only seen the start of this revolution and we don't know the end. But who else to decide who should lead people than the people themselves?

poor Egyptian....have won? :twitch:
Hivi maandamano haya yoote lengo tu Mubarak atoke? Mi nilidhani walikuwa na vya msingi...whoops!
Kwa hiyo hata mambo yakizidi kuwa ovyo, maadam Mubarak kajiuzulu shukran? Poor Egyptians!
 
Mi nadhani hizi nchi zetu zina matatizo mengi sana ya kimfumo wa kiuongozi. Akiondoka anamuachia nani ofisi...makamu wake. Hapa ni kubadili sharti na kuvaa lingine. Mfumo mzima unapaswa kubadilishwa. Na hauwezi kubadilishwa na watu walio ndani ya serikali ile ile.

Pengine hufuatilii mambo yanavyoendelea pale Misri, jaribu kuwa na mawazo mapana japo kidogo. Nelson Mandela alipoachiwa SA ilikuwa na ishara yake. Mubarak kutokana na sources financially ana at least $40 billion sasa unaweza kuniambia ni biashara gani amekuwa akifanya tangu awe waziri mkuu hadi urais kumwezesha kuwa na mpunga kama huo.

poor Egyptian....have won? :twitch:
Hivi maandamano haya yoote lengo tu Mubarak atoke? Mi nilidhani walikuwa na vya msingi...whoops!
Kwa hiyo hata mambo yakizidi kuwa ovyo, maadam Mubarak kajiuzulu shukran? Poor Egyptians!

Go back to school buddy!
 
Serikali ya Marekani imesema Mubarak atamwachia V.P leo. Kwa sasa waandamanaji wanashangilia kwa ushindi walioupata. (CNN)
 
images


Natumaini na huyu jasusi Omar Suleiman naye ataondoka.
anajuwa hilo na ameanza kujiandaaaaaa
 
A few more piece of news:

Mubarak will make announcement on Egypt TV tonight to the Egypt people.

US government: the situation in Egypt is Fluid (what ever that means!)
 
Rais wa misri anategemewa kutangaza kujiuzuru nafasi hii leo hii huko
misri. Hatimaye nguvu ya umma imeshinda and the dictator is out.

Hii ni fundisho kubwa kwa ccm kama wana hata chembe kidogo ya ubongo ya kujifunza kichwani kuwa ubabe hausaidii na uwezi kuzuia haki za watu iko siku you will pay heavy price.
 
Vifaru, mabomu maji ya kuwasha, imekuwaje tena. Kumbe sasa naanza kuelewa maana ya nguvu ya umma. duhhh!
 
Mubarak aelekea Sharm el sheikh, mji ulio karibu kabisa na mpaka wa Israel na Saudia tayari kwa safari ya lala salama.
Habari za uhakika ni kua jeshi chini ya mkuu wa jeshi Tantawi limechukua nchi. Habari zinaeleza pia Mubarak anataka kuhutubia Taifa kwa njia ya redio kumwachia nchi Suleiman lakini jeshi limekataa. Katika kikao cha supreme Council Mubarak na makamu wake hawakuepo. Tetesi pia zinasema Rais wa muda atakua (jina sikulipata sawa sawa, linaishia Hassan) na makamu wake atakua katibu mkuu wa Arab League Amr Mousa. Brotherhood website wanasema Mubarak ameondoka kabisa Egypt na hotuba inayo daiwa ataitoa ni pre-recorded.
 
Fisadi Kikwete is Next, tujipangeni Watanzania wenzangu tupangeni tarehe na tuuhamashishe umma :twitch:
 
Vifaru, mabomu maji ya kuwasha, imekuwaje tena. Kumbe sasa naanza kuelewa maana ya nguvu ya umma. duhhh!

Uielewe vizuri kaka, Tunahitajika kulianzisha hapa home nasi maana uozo umekuwa mwingi kwenye serikali hakuna huduma za maji, umeme, Afya, Ajira hakuna, Wageni wanapewa kipaumbele, kesi za kubambikiwa, Rushwa imejaa Serikalini na bungeni na maozoozo mengine. NGUVU YA UMMA SASA ISIMAME NA KUUKATAA HUU UJINGA WA MABWEGE WA JUU. TUNAHITAJI TAREHE YA KULIANZISHA HII NGUVU YA UMMA. MAJI YA KUWASHA NA VITISHO HAVIWEZI KUTUSIMAMISHA NA UOZO WAO
 
That will be the first step.

The second step would be to make sure him and his cronies are prosecuted for crimes against the Egyptian people.

The third step.... la revolucion continua.. Sudan, Uganda, Tanzania....

Wishful thinking, i know
 
Back
Top Bottom