Jamaa ni mbishi hahaha kweli madaraka matamu jamani!!!
Hili dude halitaki kuachia madaraka duh
Kamaliza hotuba!Kamalizia kwa kusema kuwa wananchi wa Misri ni kama "Watoto wake" Hata hivyo wananchi hawataki abakie hadi september,wanataka aondoke sasa hivi!na yeye kasema atalilinda taifa lake kwa kila hali na hivyo haendi mahali....Sasa sielewi ana maana gani na wakati ameshasema malalmiko ya wananchi hao ni "Legit and just" Ndio maana nikasema ni blah blah tu!Ama kweli madaraka matam!
huyooo katimka na dola bilioni 70 zake,hizo dola wanaenda kuzifaudu wazungu badala ya ndugu zake ,jamani tunakufuru kwa Mungu kweli kweli inaingia akilini mtu kuwa na fedha kiasi hicho ilihali raia wako ni masikini wa kutupwa,na hizo hela kwa mtu usiyemfanya biashara unazipata kwa njia gani,kwa hali hii kweli unajifanya ni kiongozi unayewajali wananchi wako?hata hapa Tanzania kuna viongozi wana mipesa lakini baado wanahangaikia kuupata uraisi kwa hali yoyote,si ajabu2015 tukawa na raisi wa sampui za akina Mubarak,na yanapotokea machafuko wanakuwa wa kwanza kupanda jet kwenda kula ya kifisadi