Muasisi wa neno Ponjoro ajiandaa kuomba Msamaha

Muasisi wa neno Ponjoro ajiandaa kuomba Msamaha

Siamini Gwajima kuomba msamaha .atawadharirisha sana wasukuma
Uyo Ngosha siyo wa kurudi nyuma, anajua Nini anakifanya, lkn mbali na Sakata la Gwaji boy Kuna kaupepo kauwongo kanaibuka pamoja na ujinga umekidhiri miongoni mwa wananchi...yahani inafika hatua Kwa sababu tu ya kupewa pesa kidogo mtu unadiriki kupindisha ukweli kuwa uwongo Kwa maslai yako ya muda mfupi...
Mtu unajikuta unatumika mpaka Kwa kueneza uwongo mpaka shetani anakugwaya.
 
Uhu ni wakati wa viongozi wa Dini hasa wale wakosoaji wakae makini sana Kwa maana upepo siyo mzuri hasa Kwa wakosoaji na wanaharakati..najua watapitia misukosuko mingi Sana lkn Mkono wake Mungu Baba kamwe hautawaacha kamwe.
Kumbuka penye kutafutwa Haki Mkono wa Mungu ukaa pamoja juu ya watafutao Haki... Haki inaweza kucheleweshwa lkn ipo nyakati itapatikana tu, hata km siyo hichi kizazi.
 
Back
Top Bottom