Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,564
- Thread starter
- #21
Anaumbuka sasaNgoja niongee kiswahili ya Kenya, "" Hii ngwajima ilikuwa inafanya wrestling na Elephant""
Anaumbuka sasaNgoja niongee kiswahili ya Kenya, "" Hii ngwajima ilikuwa inafanya wrestling na Elephant""
GabacholiNeno "Ponjolo" liliasisiwa na marehemu Mtikila !
Ebu nipe tofauti wanaoitwa shombe, mgunya, mshashi, mshihiri, mdosi, dingi, mangi, nk umewahi kuona wanashtakuwa? Kama kaitwa ponjoro na halitaki labda anataka aitwe mangi au mdosi haina shida. Mm sielewj ponjoro ni nini zaidi watu wanaita wahindi hivyo. Ni kama kuita mtu mangi. Kuna ugomvi hapo?Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka zaidi (he who laughs last laughs best)
Unaandika kama marehemu....Siamini Gwajima kuomba msamaha .atawadharirisha sana wasukuma
Thibitisha.Aliyekua anaita wenzie Ponjoro. Yupo katika hatua za kuomba rasmi msamaha.
NB: Achekae mwishoni ndio hucheka zaidi (he who laughs last laughs best)
Nani muongo sasaUyo Ngosha siyo wa kurudi nyuma, anajua Nini anakifanya, lkn mbali na Sakata la Gwaji boy Kuna kaupepo kauwongo kanaibuka pamoja na ujinga umekidhiri miongoni mwa wananchi...yahani inafika hatua Kwa sababu tu ya kupewa pesa kidogo mtu unadiriki kupindisha ukweli kuwa uwongo Kwa maslai yako ya muda mfupi...
Mtu unajikuta unatumika mpaka Kwa kueneza uwongo mpaka shetani anakugwaya.