Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Lilianza taifa kwanza kikaja chama. Hivi vyama vina interest za kutawala to mit their ends.
Wengine hatuelewi kiccm, tufafanulie hapo kwenye bold..
Lilianza taifa kwanza kikaja chama. Hivi vyama vina interest za kutawala to mit their ends.
Waislamu ndani ya chadema mtaendelea kutumika sana.
I'm ashamed to identify myself as a teacher in a line with you.. If that's what it takes nowadays I better quit...
Mkuu unakosea. Mwasisi wa siasa za kilaghai ni al marhum nyerere sote tunajua hilo japo tunajifanya wabishi hatutaki kukubali. Ifike mahali tukubali kumpa marehemu sifa yake japo ni mbaya
Watoto wa kiume hawatumii neno jione, unatupa wasiwasi.Jione ulivyopagawa.... umeandika nini sasa hapo
Labda mleta mada ujiulize swali; how possible is it for Mzee Mtei to elect/appoint leaders?
Kama ni kura yeye anazo ngapi? Kwa nini shutuma hizi ziletwe sasa na watu wale wale wenye uchu wa madaraka has kwa nafasi ya m/kiti Taifa?
CHADEMA sio mali ya mtu binafsi, ni taasisi na chama huru cha siasa. Mwenye sifa za uongozi afuate taratibu na sheria za chama.
Angegusia mapato na matumizi akiongeza na ukomo wa madaraka cc wanachama tungemuunga mkono.
Zitto ni msaliti, lakini chama itusaidie kuwaaminisha watanzania beyond the reasonable doubt kuwa Zitto ni msaliti na mnafiki. Huyu jamaa kama chama itamsamehe apewe onyo kali halafu asipewe nafasi ya uongozi kwenye chama.
Zitto anashindana na Kikwete kusafiri nje! Halafu eti anataka urais! Hatutaki Vasco Da Gama nchi hii
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mwasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei ameunga mkono na kupongeza maamuzi ya Kamati Kuu Chadema kuwavua nafasi za uongozi Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo.
Akizungumza nyumbani kwake Arusha Mtei amesema kamwe Chadema haitavumilia wasaliti wanaokula njama kurudisha nyuma harakati zake.
Mwasisi huyo mwenye mvuto na heshima kubwa ndani ya Chadema amesema kamwe hawezi kupingana na maamuzi ya Kamati Kuu na kutoa wito chama kuendelea kuwafuatilia na kuwatimua mara moja wasaliti kila wanapobainika.
Source:Mwananchi.
Yakheeeee watumiani kufikiri?Kwa hili tu mwache akili yake iwe inaganzi ,wache akiue Chama kwa kupandikiza ma DJs ma Ma MCs
I'm ashamed to identify myself as a teacher in a line with you.. If that's what it takes nowadays I better quit...
Mkuu mbona unaota ndoto za mchana. Jamaa wanakazania usaliti kwa chama, mi sioni kwa nini wasing'ang'anie kuhusu usaliti wakati wanaona NGO imeguswa na wasipokuwa makini mfereji wa ulaji unawezakwisha, maana umeshashtukiwaAngegusia mapato na matumizi akiongeza na ukomo wa madaraka cc wanachama tungemuunga mkono.
Asante Mzee taifa la Tz limeshaangamia kabisa
Ufisadi unatisha kila kona
Huyu mkoloni mweusi ametunyonya hadi mwisho
wananchi wa nchi hii hawafaidi matunda tuliojaliwa na mwenyezi Mungu katika nchi hii
Mabilion ya pesa zimefichwa Swiss, tembo wanawawa, madawa ya kulevya, nchi imewekwa rehani huko China
Wachina wanafanya hata biashara za umachinga wananchi wamebaki wazururaji
Watz tuamke tujitambue la sivyo tumekwisha
Maisha yamepanda balaa huduma mbovu, wao wanaenda kutibiwa nje sisi tunakufaAmk
eni watz njooni tuungane tupate uhuru wetu
Hahaha hahaha hahaha poleni magamba, policcm, na buku 7 teamPoleni sana magamba
Nyundo na pigo mlilolipata safari hiii ni "heavy" sana