Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Unatapatapa bure wakati hizo propaganda zenu za kibaguzi zilishabuma.mwambieni mtu wenu kuwa ni ndoto kuwa m/kt wa cdm kwa ufadhili wa mafisadi ya ccm.wewe ni mtu usiyejitambua na utatumika sana kama ndomu kubwa jiinga wewe

Huna hoja...
 
Wasije wakamfanyia umafya km walivyofanya kwa Wangwe......
 
kweli nimeamini pilipili za shamba zakuwashia nini ccm mmepata mwanya wa kusema nyinyi mlishindwa kuwavua gamba wale jamaa sasa hivi mnashadadia mambo ya chadema shame on you
 
kweli nimeamini pilipili za shamba zakuwashia nini ccm mmepata mwanya wa kusema nyinyi mlishindwa kuwavua gamba wale jamaa sasa hivi mnashadadia mambo ya chadema shame on you

Kwani Chadema kuna gamba?
 
Huna hoja...

Acha kusambaza ubaguzi kwa vitu usivyo vijua kwa kujifanya wewe ni mtakatifu. Kaanzishe chako tuone kitakuwa cha kabila au ukanda au dini gani. Kama hauwezi tulia hapo ulipo kwenye chama cha waislamu wa pwani wakulishe tende na alua kutoka unguja!! Acha kutoatoa hoja za kipuuzi tu hapa, kupotosha watu wasio na ufahamu!!!
 
Wewe ni mlaghaika...
 
Wewe ni malicious element jf, punguwani wa ccm usiye na kabila, ukanda wala dini. In short, you are no-existence object, without mass or energy.

Ukabila na udini ni primitive behaviors. Wewe ni primitive...
 
Mwasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei ameunga mkono na kupongeza maamuzi ya Kamati Kuu Chadema kuwavua nafasi za uongozi Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo.

Akizungumza nyumbani kwake Arusha Mtei amesema kamwe Chadema haitavumilia wasaliti wanaokula njama kurudisha nyuma harakati zake.

Mwasisi huyo mwenye mvuto na heshima kubwa ndani ya Chadema amesema kamwe hawezi kupingana na maamuzi ya Kamati Kuu na kutoa wito chama kuendelea kuwafuatilia na kuwatimua mara moja wasaliti kila wanapobainika.

Source:Mwananchi.
 
Ukabila na udini ni primitive behaviors. Wewe ni primitive...

Wewe you have a boby without soul, an amphibian perhaps with a human body. Huna hoja zaidi ya kabila lako wewe na waislamu wenzako wa pwani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom