Huyu mzee ni problem kwa taifa.
Alikataa kupigania Uhuru halafu anataka kuhatarisha umoja wetu wa kitaifa kwa kauli zake za kibaguzi.
Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai...
Angegusia mapato na matumizi akiongeza na ukomo wa madaraka cc wanachama tungemuunga mkono.
Angegusia mapato na matumizi akiongeza na ukomo wa madaraka cc wanachama tungemuunga mkono.
Hukumu inatolewa kabla kesi haijaanza!
Haya Zito kesha kataa kuwa haujui huo waraka na ukweli aliwashinda kwa hoja za awali ndio mkakurupuka na waraka na kumhusisha mkidai ni MM mlisahau kuweka C mwanzo ,na kwa kutumia waraka huo ndio mkatimiza lengo lenu ,yule Lissu nilikuwa nikimuona wa maana sana lakini kwa jinsi alivyohukumu amepoteza sifa aliyokuwa nayo ,inawezekana amekubali kutumika au ndio yupo kundi flani ,eti nae wakili !

Kuwa makini na THE BIG SHOW (Arap Sang wa Bongo) anapalilia mbegu za ukanda, udini na ukabila...na hii ni baada ya azma yake ya kupozwa masuala gesi isitoke Mtwara kutimia.Imekula kwake,kwa ufupi amebug sana,
Kama yeye alidhani chama hiko kitaendelea kuwa mikonon mwake milele atambue sasa ndoto zake hizo zimefeli,
Chama kimeshakuwa cha kitaifa na akiendeleza mambo yake ya ukanda udini na ukabila kitamfia mikononi mwake,
AKAE ATULIE KABISA HUYO MZEE,TENA ASHIKE ADABU ZAKE
Huyu mzee ni problem kwa taifa.
Alikataa kupigania Uhuru halafu anataka kuhatarisha umoja wetu wa kitaifa kwa kauli zake za kibaguzi.
Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai...
Huyu mzee ni problem kwa taifa.
Alikataa kupigania Uhuru halafu anataka kuhatarisha umoja wetu wa kitaifa kwa kauli zake za kibaguzi.
Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai...
Akili ndogo hujadili watu, tehe, tehe, tehe!Kumuunga mkono kiongozi sio mpaka awe ndugu. Tabia hiyo anayo Mtei tu.
lISU NAE SI WALE WALE??ANABEMBELZA UBUNGE NA KUCHUMIA TUMBO,WE SI UNAONA AMETEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA??WE UNADHAN KAZI ILE ATAIFANYA BURE??SI ATALIPWA PIA??
HUWEZ KUMKUTA MTU SMART KAMA MABERE MARANDO ANAKUBALI KUWAANGUKIA ANGUKIA HAWA AKILI NDOGO KAMA MBOWE NA SLAA,HATA SIKU MOJA
Wewe you have a boby without soul, an amphibian perhaps with a human body. Huna hoja zaidi ya kabila lako wewe na waislamu wenzako wa pwani.