Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,222
Huyu mzee ni problem kwa taifa.
Alikataa kupigania Uhuru halafu anataka kuhatarisha umoja wetu wa kitaifa kwa kauli zake za kibaguzi.
Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai...
Alinishangaza sana alipokuja na issue ya udini kwenye wale wajumbe,Huyu mzee huyu ni hatari.