Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Haka kazeee ndo kale kalikokataaa pigania uhuru wa nchi na ndo kale kale kalikoliiimgizia taifa umaskin wa kutupwa na baadae kakaacha kaz kisa pesa za kulalipa nchi haikuwez kumudu,leo hiii et nako kanachama kanakisimamia kichukue nchi,over mu dead body hakatokuja kuona mtu kwa bendera ya chama chake akigusa magogon
 
Tungeshangaa usingeunga mkono hilo, haya nenda kamshauri mwanao amsamehe mbowe kama ya kupatanisha wanao yamekushinda ya chama hutayaweza.
Kwani nyie MaCCM ishue za CDM zinawausu nini? Mbona mnakuwa kama wachawi!
 
Magamba ni chama cha wafanya ngono zembe na kumaliza wasichana wadogo na vvu.nwenyekiti wao kikwete ni janga kubwa la taifa.

Kama alivyo katibu mkuu wa chadomo kwa kuchukua wake za watu je? Hiyo sio ngono uzembe kwa wake za watu toooba naomba wangu mke asiwe mwana chadema akapitiwa na Silaha
 
Mzee Edwin Mtei mbona hutendei haki umri wako?

Mzee MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WAKUDAI MABADILIKO KWENYE CHAMA HASA WATU KUUTAKA UENYEKITI WA MBOE?

MZEE MTEI USALITI UNAO UZUNGUMZIA NI WATU KUKATAA POSHO?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WATU KUTAKA CHAMA KIKAGULIWE BILA KUWA TONYA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI ULE WA WATU KUHOJI PESA ZA KUMKOPESHA KATIBU MKUU ZIMETOKA WAPI WAKATI ZA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAKUNA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WA DR KITILA KUANDAA ILANI YA CHAMA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WA DR KITILA KUMANDALIA HOTUBA DR SLAA 2010?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI ULE WA DR KITILA KUKISAIDIA CHAMA KUTATUA MGOGORO WA UCHAGUZI WA VITI MAALUM MAANA MWANZO MISINGI ILI KIUKWA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA HAPA NI WA WATU KUTAKA Godbless J Lema AWAJIBISHWE KWA KUMRUSHIA TOFALI MWIGAMBA NA KUTOA TUHUMA NJE YA VIKAO VYA CHAMA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI HULE WA WATU KUKATAA KUCHAGULIWA VIONGOZI?

Komredi umetaja mengi mno ila umesahau msingi mkuu wa usaliti wote ambao ndio umepelekea hawa kuadhibiwa nao ni unafiki.
 
Last edited by a moderator:
Labda mleta mada ujiulize swali; how possible is it for Mzee Mtei to elect/appoint leaders?
Kama ni kura yeye anazo ngapi? Kwa nini shutuma hizi ziletwe sasa na watu wale wale wenye uchu wa madaraka has kwa nafasi ya m/kiti Taifa?

CHADEMA sio mali ya mtu binafsi, ni taasisi na chama huru cha siasa. Mwenye sifa za uongozi afuate taratibu na sheria za chama.
 
It depends ... and the PURPOSE it serves bro.

it doesnt depend, Nyerere lead the way, aling'atuka, tulimsema sana Kingunge kwa kuendelea kuwepo... sasa why double standards when it comes to this man??

Hebu tuache ujinga, huyu babu is doing no good for chama, it is not democracy... yeye si msemaji wa chama, wala nini

tusiendekeze ujinga in the name of "mzee"...

anaumwa, kazeeka na sasa apumzike aache new blood with new ideas... Not ZItto's hypocrisy and greed though
 
Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai Tanzania...


Mkuu unakosea. Mwasisi wa siasa za kilaghai ni al marhum nyerere sote tunajua hilo japo tunajifanya wabishi hatutaki kukubali. Ifike mahali tukubali kumpa marehemu sifa yake japo ni mbaya
 
Hivi ni kweli mzee Arfi hajawahi kuongea bungeni?Wakati mwingine tumuogope mungu jamani!
 
Ni vema tukajadili uzi husika kuliko kutoa personal attacks,mimi kama junior lawyer sina shaka na uwezo wa ndugu msomi mwenzangu lissu. Lazima tufahamu ya kwamba kila chama kina katiba/sheria na malengo yake kisiasa.
Advocate Deon, Mh Tundullisu ana sema kuandaa mkakati wa ushindani ndani ya chama ni uhaini.

Wewe unakubaliana na tafsiri hii ya uhaini kutoka kwa Tundulisu?
 
Last edited by a moderator:
Komredi umetaja mengi mno ila umesahau msingi mkuu wea usaliti wote ambao ndio umepelekea hawa kuadhibiwa nao ni unafiki.
Sidhani kama umeelewa nilicho maanisha.

kwa hiyo kusema vyama havijakaguliwa ni unafiki?
 
Sidhani kama umeelewa nilicho maanisha.

kwa hiyo kusema vyama havijakaguliwa ni unafiki?

Ndio ni unafiki kama kusema taifa kwanza chama baadaye wakati kila mwenye hekima anaona matendo yako ni tumbo kwanza vingine baadaye.

Nikuulize hivi huyu mh kama kiongozi wa cdm alifanya juhudi gani binafsi kuona hesabu za chama anacho kiongoza zina kaguliwa na cAG.je Juhudi zake zilikwamishwa? Au mimi sielewi maana ya unafiki?
 
Ndio ni unafiki kama kusema taifa kwanza chama baadaye wakati kila nwenye hekima anaona matendo yako ni tumbo kwanza vingine baadaye.

Nikuulize hivi huyu mh kama kiongozi wa cdm alifanya juhudi gani binafsi kuona hesabu za chama anacho kiongoza zinakaguliwa na cAG.je Juhudi zake zilikwamishwa? Au sielewi maana ya unafiki?

Lilianza taifa kwanza kikaja chama. Hivi vyama vina interest za kutawala to mit their ends.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom