MUALIKO: The JF 'Rock City Wing'


Ndoho tab'hu nkoi, zoogi doho nam'hala pyee!
Karibu sana.
 

Panaitwa Yung Long Chinesse Restaurant
 
Rock City Nawatakia kila lililo la kheri katika kikao chenu, bahati mbaya nitakuwa na udhuru tarehe uloitaja; kwa hivyo sitaweza kuhudhuria kikao!.
Ahsante.
Bila shaka next kikao tutajumuika pamoja juu ya wing yetu, stay connected.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli mkuu TUMEKUSIKIA.
Tutarekebisha juu ya muda na mengineyo kwenye thread hii.

Ahsante na karibu sana.
 

Habari mkuu,

Sorry, muandishi alikuwa na haraka kidogo wakati anapost uzi huu. MUDA NI KUANZIA SAA 10 JION, MADA HATUKUAFIKIANA MAKE TULIKUWA WACHACHE, HIVYO BAADA YA KUKUTANA TUTAJADILIANA KUHUSU MADA. JINA LA ENEO HILO NI YUNG LONG CHINESE RESTAURANT (FORMARLY ROCK BEACH)
 
Poa mkuu tumekusoma lakini hujasema ni saa ngapi

Ila Rock Beach pamechoka, wamejaa wachina tu, anyway nitakuja panapo uzima bt tupe time

 
Poa mkuu tumekusoma lakini hujasema ni saa ngapi

Ila Rock Beach pamechoka, wamejaa wachina tu, anyway nitakuja panapo uzima bt tupe time

Habari mkuu...

Muda ni kuanzia saa kumi jioni (1600hrs). Tulichagua hapo kwa sababu ni mara ya kwanza na pia ni very accessible kwa wakazi wote wa hapa mza. Wanaotoka Shinyanga road, Airport Road na Musoma road itakuwa rahisi kwao.

Ila tutakapo zidi kukutana tutachagua mahali pengine.

Karibu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…