Dr. Slaa,
Bila shaka wajua fika swala la kupanga mbunge wa kiti maalumu achaguliwe wapi ni swala la UTARATIBU WA NDANI YA CHAMA NA SI SHERIA YA NCHI KWAMBA LAZIMA ENEO LAKE LA KAZI LIWE NI MKOA AU WILAYA... NDO MAANA WENZETU CUF WANA WABUNGE WANAFANYA KAZI ZA KANDA NA SI MKOA... H
II INAPOTEZA MAANA YA HOJA YAKO YA KINA KIWELU NA LUCY KUWA HALALI KWASABABU TU ETI WANAISHI KILIMANJARO NA UCHAGUZI UPO NDANI YA MKOA MMOJA NA HAPA CHATANDA KAPATA UBUNGE KUTOKEA TANGA LAKINI ANAISHI ARUSHA NA KUFANYIA KAZI ARUSHA THEN YEYE SI HALALI....
Kanuni nyingine iliyovunjwa ipi Dr?
Dude!!,the question is,WHY DIDN'T YOU GO TO COURT?...ANY COURT.kobello which court are talking about is that Mkuchika is one of the judges?
Nashukuru..
Lakini ninavyofahamu Wabunge wa viti maalum wanawawakilisha wanawake wa Tanzania nzima na hivyo hawawakilishi mkoa wala wilaya yoyote, na ndio maana CHADEMA iliteua Wabunge hawa kwa vigezo tofauti kabisa bila kuzingatia mikoa wanayotoka waombaji.
Na ninavyojua ni kuwa chama kinaruhusiwa kisheria kumteua mbunge wa viti maalum kukiwakilisha kwenye halmashauri yeyote kitakachopenda, kwa mantiki hiyo sioni tofauti ya suala la Grace Kiwelu na Mary Chatanda, kisheria Chadema ingeweza ata kumpangia Grace Kiwelu kuiwakilisha kwenye halmashauri ya Jiji la Mbeya bila tatizo lolote.
Kwenye hili la uchakachuaji naomba utuweke wazi zaidi..
Hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako kubishana na Nape kwa mtu kama Dr. ni kupoteza muda Nape bado ana siasa za ujana za kutafuta sifa hazungumzii facts anazungumzia events, angalia hapa tunaongelea uchaguzi wa Arusha yeye anaingiza wa Hai, kwa cheo chake haya mambo ya chenga hayafai ajaribu kujitofautisha na wanaJF wanaopoteza mada tunaobishana nao humu, yeye kama kiongozi akija anatakiwa aje na facts 1,2,3.@Dr. slaa
kwanini unatumia muda mwingi kubishana na Nape wakati fika unajua kwa CCM katibu mwenezi ni mtu anyeshughulika na propaganda pia na hizi ni sehemu za propaganda zake?
ningekuelewa kama ungekuwa na mjadala na Mukama na si Nape
kwanini wewe pamoja na Mukama msiitishe mdaharo na taifa lijue nini kimekosewa na wapi kwa kurekebisha na si kuendelea kumsikiliza na kujibishana na Nape kwani propaganda ni sehemu yake
Mkuu,in politics that is called an "electoral college",Tanzania is not a federation,it's a state by herself.In our elections,the electoral college is based on "party-lines" that's why we don't have independent candidacy in our local and national elections.kwa maelezo yako, je! itakuwa sahihi kwa grace kiwelu akiwa muwakilishi wa mbeya kuja kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Hai?
@Nape mnauye
unajua unanikera sana nikikumbuka research report yako ulioiwakilisha kwa ajili ya kupata masters pale mzumbe university business school ni ya kudesa , natamani nipate wakili anisaidie kukufungulia kesi ili ufungwe
je wewe si fisadi wa elimu ? kwanini unaleta propaganda kwenye misingi ya taifa letu?
Don't make me lough, Hanger Strike in Tanzania? people will lough at you.Dude!!,the question is,WHY DIDN'T YOU GO TO COURT?...ANY COURT.
If you don't trust the judicial system,what makes you think you can force your way in to the office?.....Look at how Anna Hazare forced his parliament to enact a resolution to curb corruption.Blood loss is a vicious cycle, it never ends, so just calm down and follow the right path,it works!!
Jogi na wenzako,
KWANZA NI VIZURI SANA KULIJUA TATIZO LA ARUSHA BILA USHABIKI WA KISIASA. HIVI NINI SABABU YA CCM NA CHADEMA KUKAA MEZANI HASA KWA VIONGOZI WA KITAIFA.. UGOMVI ULIOPO NI KATI YA CHADEMA NA MADIWANI WAKE WA ARUSHA....CCM INAINGIAJE HAPA?
NANI ASIYEJUA KUWA MKAKATI WA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA NI KUTUMIA MGOGORO HUU WA ARUSHA KUMALIZA KESI INAYOWAKABILI, HASA BAADA YA KUONA KUWA IMEWAKALIA VIBAYA? HILI LAO CCM HATUMO.
TUNAJUA MEYA KACHAGULIWA KIHALALI NA MANISPAA INAENDELEA KUJENGWA, IKIZINGATIWA KUWA ILANI INAYOTEKELEZWA NI YETU , HATUNA MUDA WA KUJADILI WALA KULUMBANA KWA MIGOGORO ISIYOTUHUSU...TUNASUBIRI HIZO SIKU 30 ZA WATANI ZANGU...
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
kwa maelezo yako, je! itakuwa sahihi kwa grace kiwelu akiwa muwakilishi wa mbeya kuja kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Hai?
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
kobelloMkuu,in politics that is called an "electoral college",Tanzania is not a fedration,it's a state by herself.In our elections,the electoral college is baed on "party-lines" that's why we don't have independent candidacy in our local and national elections.
The "Electoral college" in LAGs is not characterised by reidency(like US) BUT by party affiliation.So, as long as the electors are members of the registerd political party.
About quorum,In case of a boycott,or unexplained abscence of the council members(especially,when they all belong to the me party),the meeting will be categorized as an emergency meeting i.e a meeting that is not regular as described by the local authority(the emergence can be disapproved by the court or the director.
The quorum for such meetings is 50%.
Jirani taratibu basi, na ujibu mada kama kiongozi si kishabiki utakuwa huna tofauti na wengineo...btw CDM inawakimbiza kwelikweli, mkilala mkiamka Magwanda, mkinywa chai , mkifuturu Shibuda, mkikesha mkisali Arusha...Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
Ndugu yangu Nape nakuomba sana unapokuja humu uwe na lengo la kushauri, kuelimisha na kutufahamisha chama kinamipango gani si kubishana na wanaJF asante ni hayo tu kwa leo.Mmm Nape kashakimbia angekimbia phd ingekuwa maneno makubwa hapa...
.... ....
am confused, labda waniambie hawaendi kujadili suala lililo mahakamani.
usitake kupoteza mada wewe si wa mwaka jana wewe umejiunga mwaka juzi pale na kupewa kuwa waziri wa ulinzi na hatimae kuiba repoti ya watu , sasa unataka kusema kuwa ujachagua topic wakati wa mwaka jana tu wameshaanza kufanya research na wanaendelea na topic zao na wewe wa mwaka juzi zaidi ya miaka miwili sasa wakati sheria ni baada ya mwaka unafanya researchMasikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...