Alipita Mtwara mjini kimya kimya kaenda sehemu inaitwa Msimbati akijua kuko shwari, watu wamekata mwembe na kuziba njia pamoja na kupanga mawe, wameapa hatarudi salama bora arudie njiani.
Kazi ipo huku Mtwara
Wazir simbachawene amezuiwa njiani na wananch hapa mtwara kwa kuwekewa mawe njiani na ffu wanakuja hapa
Jery sla alisema CCM ni kama nyani.Kama Mtwara nao sasa wanaipinga CCM na sera zake basi ujue 2015 haitakuwepo tena madarakani. Tena isipoangalia hata nafasi ya chama kikuu cha upinzani inaweza isipate.
Haya mabadiliko na kuipinga CCM sasa yanakuja kwa kasi ya ajabu na wanaopaswa kumwaga sera za utetezi wa chama chao wao wanazunguka tuu na kutukana wakina Slaa. Ccm itajuta kuwapa hawa vijana ( wa hovyo) madaraka ndani ya chama.
Hakika suala hili kama litachukuliwa mzaha, CCM wataleta machafuko nchi nzima.
Wazir simbachawene amezuiwa njiani na wananch hapa mtwara kwa kuwekewa mawe njiani na ffu wanakuja hapa