mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Haya ni matatizo ya kutokuwa na serikali za mtaa zenye mamlaka. Mf majimbo chini ya magavana wenye kuwajibika moja kwa moja kwa wananchi ndio imesababisha maendeleo yote yawe Dar. mfano kama chuo cha IFM kimejaa kwanini wanajenga kingine ndani ya Dar? Kwanini Mzumbe imefungua tawi dar na lina wanafunzi wengi kuliko la Morgorogo?. Ukipata majibu ya hayo utajua kwanini ni muhimu kuwa na utawala wa serikali za mtaa
TUNAOMBA WATU WA KUSINI, KESHO MTUME WAWAKILISHI WENU WAJE WACHUKUE TAARIFA KATIKA MAANDAMANO YA WATU WA KUSINI KUGOMEA BOMBA KWENDA DARESALAAM,wale wote wasiojua kwanini ili swala naomba watege sikio,tutawajuza kesho dunia mzima
kama wananchi hiyo gesi wanaitaka kwa ajili ya matumizi gani hasa.
kama wananchi hiyo gesi wanaitaka kwa ajili ya matumizi gani hasa.
TUNAOMBA WATU WA KUSINI,
KESHO MTUME WAWAKILISHI WENU WAJE WACHUKUE TAARIFA KATIKA MAANDAMANO YA
WATU WA KUSINI KUGOMEA BOMBA KWENDA DARESALAAM,wale wote wasiojua
kwanini ili swala naomba watege sikio,tutawajuza kesho dunia
mzima
Kazeni sana wadau! Huku mwadui tumeachiwa mashimo tu! Solidarity forever.TUNAOMBA WATU WA KUSINI, KESHO MTUME WAWAKILISHI WENU WAJE WACHUKUE TAARIFA KATIKA MAANDAMANO YA WATU WA KUSINI KUGOMEA BOMBA KWENDA DARESALAAM,wale wote wasiojua kwanini ili swala naomba watege sikio,tutawajuza kesho dunia mzima
chadema imeingiaje hapa?mbona mna hofu sana?Wewe na CDM wenzako ni wachochezi! nyie mnadhani kuwa itakopoanza vurugu na umwagaji damu kama mlivyosema eti mtaingia msituni! wewe kilaza unajua madhara ya vita? au ukisha kula ugali wako na samaki wa kukaangwa akili zinakuruka na unatamani damu sio! Hujui madhara ya hicho unachoshabikia:!