Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Habari zenu wanabodi
Manispaa ya Mtwara/Mikindani imeanza ujenzi wa kituko cha karne katika eneo la Mkanaledi na kubatiza kituko hicho kuwa eti ndiyo stand ya mkoa.
Mkuu wa Mkoa yupo, Mkuu wa Wilaya yupo, wahandisi wapo halafu wote fikra zao zinaishia kuja na kituko cha karne.
Ni bora wangetoa hata ramani ya kisasa wawaruhusu wawekezaji kujenga kwa kufuata ramani hiyo kuliko hiki walichokifanya.
Anyway huenda wakazi wa huko wanapenda.
Engineer tembelea stand ya Mbinga au ya Korogwe upate akili.