Mtwara: Aliyebuni ramani ya stand mpya ya mabasi hana akili

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Habari zenu wanabodi

Manispaa ya Mtwara/Mikindani imeanza ujenzi wa kituko cha karne katika eneo la Mkanaledi na kubatiza kituko hicho kuwa eti ndiyo stand ya mkoa.

Mkuu wa Mkoa yupo, Mkuu wa Wilaya yupo, wahandisi wapo halafu wote fikra zao zinaishia kuja na kituko cha karne.

Ni bora wangetoa hata ramani ya kisasa wawaruhusu wawekezaji kujenga kwa kufuata ramani hiyo kuliko hiki walichokifanya.

Anyway huenda wakazi wa huko wanapenda.
images (1).jpeg

Engineer tembelea stand ya Mbinga au ya Korogwe upate akili.
 
Kwa teknolojia ilipofikia kuweka uzi bila picha tena wenye heading inayoonyesha kuna picha ya stendi unayoiponda, hauitendei haki teknohama au uzi wako.
 
Habari zenu wanabodi

Manispaa ya Mtwara/Mikindani imeanza ujenzi wa kituko cha karne katika eneo la Mkanaledi na kubatiza kituko hicho kuwa eti ndiyo stand ya mkoa.

Mkuu wa Mkoa yupo, Mkuu wa Wilaya yupo, wahandisi wapo halafu wote fikra zao zinaishia kuja na kituko cha karne.

Ni bora wangetoa hata ramani ya kisasa wawaruhusu wawekezaji kujenga kwa kufuata ramani hiyo kuliko hiki walichokifanya.

Anyway huenda wakazi wa huko wanapenda.
View attachment 1044641
Engineer tembelea stand ya Mbinga au ya Korogwe upate akili.
Hebu fafanua! Stand au Soko?
 
Engineer somaaaa.
 
Paper engineers.
Huyo engineer atakua alisomea Dar tech halafu anawaambia watu ni engineer.
Ndio kama yule aliyeambiwa. Soma iyoooo
 
pesa ndipo zilipo ishia hapo....uwezo wetu ulikuwa mdogo sana...ila akitokea muwekezaji anaruhusiwa kuengeneza ki sasa zaidi...ata hivyo huu ni mwanzo tuu
 
Habari zenu wanabodi

Manispaa ya Mtwara/Mikindani imeanza ujenzi wa kituko cha karne katika eneo la Mkanaledi na kubatiza kituko hicho kuwa eti ndiyo stand ya mkoa.

Mkuu wa Mkoa yupo, Mkuu wa Wilaya yupo, wahandisi wapo halafu wote fikra zao zinaishia kuja na kituko cha karne.

Ni bora wangetoa hata ramani ya kisasa wawaruhusu wawekezaji kujenga kwa kufuata ramani hiyo kuliko hiki walichokifanya.

Anyway huenda wakazi wa huko wanapenda.
View attachment 1044641
Engineer tembelea stand ya Mbinga au ya Korogwe upate akili.
Mmh ndo hcho kituko hapo pichani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom