Mvua kubwa Mtwara: Stand ya mkoa haiingiliki

Jasusi Mbobezi

Senior Member
May 17, 2020
195
851
Mvua kubwa inaendelea kunyesha Mtwara, na video hii inaonesha hali ilivyo kwenye stand kuu ya mkoa iliyopo Mkanaledi. Mimi ni CCM dam ila hapa mkuu wa mkoa ulituletea project ya kipumbavu, sijui kwakuwa kwenu Bokoba stand ni mbovu pia.
========
UPDATES
Stand imefungwa kwa muda, magari yanashushia stand ya zamani.
Mkuu wa mkoa siku nyingingine sikiliza maoni ya watu.
Mh Rais huyu mkuu wa mkoa kakuaibisha sana kwenye huu mradi wa stand ya mkoa.

 
Hizo ni rasha rasha tu. Mwaka huu mvua ipo ya kutosha, kama unaishi mabondeni anza kuchukua hatua mapema. Unless otherwise poleni kwa kuharibiwa miundo mbinu ya stand naamini mamlaka zitalifanyia kazi as soon as possible
 
Wakuu kwa nn nikitaka kuview attachement nikiclick inaniletea hivi?msaada wakuu
Screenshot_20210112-135807.jpg
 
Mimi ninaona pesa inapotea, haya maji yangejengewa mkondo unaokwenda kwenye reservoirs, yakawaandaliwawkwa matuminzi ya binadamu na kurudishwa kwa wananchi kwa njia ya mabomba.
 
Kwa hii mvua inayoendelea Mtwara, watu waliopo Mtwara wazidi kuchukua tahadhali na wa nje ya Mtwara tuzidi kuombeana.
 
Back
Top Bottom