Mtwara: Aliyebuni ramani ya stand mpya ya mabasi hana akili

kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
1,883
Likes
2,007
Points
280
kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
1,883 2,007 280
Kwenye ma kabrasha walituonesha picha zakisasa wakasema stand itafanana na stand moja hivi huko Dubai. Sasa ujenzi ulivyoanza engineer akatoa hicho kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
iyo ni sehemu ya kuhifadhia mifuko ya cement kwa ajili ya mradi au mradi ndio umeisha ha ha ha ha
 
Kivumishi

Kivumishi

Senior Member
Joined
Mar 16, 2018
Messages
120
Likes
170
Points
60
Kivumishi

Kivumishi

Senior Member
Joined Mar 16, 2018
120 170 60
Jaribu kwanza kuulizia kabla ya kirusha utumbo wako.

Hii ni stend ya muda, wakati wakiendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kujenga stend ya kisasa.

Majengo yote yaliyojengwa eneo hilo, yatakuja kubomolewa pindi watakapo pata fedha za ujenzi wa stend ya kisasa.

Kumbuka pia Mtwara ipo kwenye mradi wa TSCP ila wao priority yao haikuwa stand so may be next phase kama watapata fedha wanaweza kujenga stend ya kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utumbo ni huu unaoandika wewe, hii si stand ya muda kama unavyodai na ni upumbavu kuruhusu watu kujenga fremu kiholela na nyie kujenga banda la kuku na kuliita jengo la kupumzika abiria, tangu lini na wapi uliona stand ya muda inajengwa majengo ya kudumu? Hayo ni matumizi mabaya ya akili na ardhi na mtazidi kuwa duni mpaka mwisho wa dahari. Bora mngeacha stand ya zamani iendelee kutumika wakati mkitafuta pesa za ujenzi wa stand mpya kuku pori nyie.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,735
Likes
8,136
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,735 8,136 280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,669
Likes
11,299
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,669 11,299 280
Jaribu kwanza kuulizia kabla ya kirusha utumbo wako.

Hii ni stend ya muda, wakati wakiendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kujenga stend ya kisasa.

Majengo yote yaliyojengwa eneo hilo, yatakuja kubomolewa pindi watakapo pata fedha za ujenzi wa stend ya kisasa.

Kumbuka pia Mtwara ipo kwenye mradi wa TSCP ila wao priority yao haikuwa stand so may be next phase kama watapata fedha wanaweza kujenga stend ya kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Engineer naona umekuja kwa moto sana. Wewe engineeer ni kilaza tu, kwañin msiache stend ile ya zaman mpaka mtakapopata hizo pesa?
 
Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844