Mtwara: Aliyebuni ramani ya stand mpya ya mabasi hana akili

Aisee.. Katika designs za stendi za mabasi hapa Tanzania, sidhani kama kuna ambayo inaifikia Mikindani aisee.. Sasa mkuu hicho ulichoweka hapa kinanishangaza maana ni tofauti kabisa na designs iliofanywa na kukabidhiwa kwa Manispaa ya Mtwara hapo.. Tuna shida kubwa aiseee..
Weka picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajatumia ile kiongozi. Ile ipo kwa ma kabrasha tu

Daah, sasa si hasara imekuwa.. Au baada ya gesi kuonekana sio issue tena wanahisi mkoa uta-stagnant so hata wakiwekeza kwenye ile stand inaweza isilipe Mkuu..? Maana ninakumbuka mipango yao ilikuwa ni kuwatafuta wabia kwenye kuwekeza pale..
 
Wakatwambia Mtwara itafanana/kuizidi Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli waandisi wa ujenzi manispaa ya mikindani chenga😂😂😂 wajenge kama Morogoro busport! Au tatizo mfuko?
 
Kwenye ma kabrasha walituonesha picha zakisasa wakasema stand itafanana na stand moja hivi huko Dubai. Sasa ujenzi ulivyoanza engineer akatoa hicho kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Picture za kisasa zisi kuzuzue mkuu ..utawala wa serikali ya ccm ndio kawaida yao kuwalisha matango pori wananchi ...hata pale tazara ramani ya awali ya mfugale flyover ili kuwa ni ile ya interchange ...kilicho kuja kujengwa kiko tofauti kabisa na ramani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli waandisi wa ujenzi manispaa ya mikindani chenga😂😂😂 wajenge kama Morogoro busport! Au tatizo mfuko?

Mwanzo walisema wangewatafuta wawekezaji pale, wajenge hotels, vituo vya mafuta, malls, na zagazaga nyingine.. wazo lilikuwa zuri na ndani ya uwezo.. Sijui kilichokuja kutokea baadae aisee.. Ila tayari kuna gharama walishaingia za kutengeneza designs na BOQ ya mradi mzima..
 
Hebu tupia picha ya plan nzima ya stendi hiyo itakapokamilika. Maana kwa jengo hilo hata kilabu cha mataputapu hakiwezi kuwa hovyo kiasi hicho. Ninaimani wahandisi hawawezi kuwa hovyo to that extent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom