Mtwara: Aliyebuni ramani ya stand mpya ya mabasi hana akili

Eng. Mpaki ni mpuuzi, kwa wakandarasi tuliowahi fanya kazi na huyu tunamjua..
 
Pale Manispaa ya Mtwara wamejaa mbumbumbu na watu wenye mtazamo wa mwaka 70..

Engineers waliombwa wadesign ramani ya stand ya kisasa, wakafanya hivyo lakini ikafungiwa kabatini mpaki akaja na ramani yake.
 
Kama naona mchana abiria wanavyochomwa na jua.
Kwa kuangalia tu hilo jengo mtoa fedha ni serikali na kama mjuavyo tunabana matumizi hivyo tuelewane. Hizo stand nyingine mnazozisifia najua Kama mbili au tatu zilifadhiliwa na World Bank ndio maana kilichotoka kina ubora.

Kwa kweli Kama hilo jengo ni kweli mmewakosea Sana wakazi wa Mtwara labda kama mlipanga kupageuza soko LA samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nzuri, Lina muundo wa JayFong.
 
Nikweli mwambie mtu unayemwamini apige picha akutumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kwanza kuulizia kabla ya kirusha utumbo wako.

Hii ni stend ya muda, wakati wakiendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kujenga stend ya kisasa.

Majengo yote yaliyojengwa eneo hilo, yatakuja kubomolewa pindi watakapo pata fedha za ujenzi wa stend ya kisasa.

Kumbuka pia Mtwara ipo kwenye mradi wa TSCP ila wao priority yao haikuwa stand so may be next phase kama watapata fedha wanaweza kujenga stend ya kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwongo mkubwa, mtoa post yuko sahihi wewe ndo uulize. Au we ndo engineer? Nimewahi kuuliza kwa wahusika baada ya kuiona na nikaambiwa hiyo ndiyo stand yenu huko kusini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…