Tangi Tomofu kibiki
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 118
- 74
Ndo maana hao jamaa wanataka wapate mawasiliano ya moja kwa moja kutoka control tower wenyewewakati unasubiri n
amba waambie
airport haina taa safari ni mchana tuuu
hiyo ndo bongo.... tupo enzi ya karne ya sayansi na teknolojia lakini utadhani tupo kwenye ujima!!!!! yaani huwezi pata maelezo ya kina kwenye mtandao kwa vitu nyeti kama hivi....Ndo maana hao jamaa wanataka wapate mawasiliano ya moja kwa moja kutoka control tower wenyewe
hiyo ndo bongo.... tupo enzi ya karne ya sayansi na teknolojia lakini utadhani tupo kwenye ujima!!!!! yaani huwezi pata maelezo ya kina kwenye mtandao kwa vitu nyeti kama hivi....
Waambie waende ubalozi wa Tz Addis Ababa watapewa tuWanajamvi naombeni msaada wenu, mm ni trip adviser, nina wageni wangu wa private jet watatoka Addiss Ababa wanataka kuland Mtwara moja kwa moja, wanahitaji namba ya simu ya mtwara airport. Tukitafta directory online hatupati.
Msaada anAyeweza tusaidia kupata namba ya TTCL ya ofisi mojawapo pale airport.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo ndo bongo.... tupo enzi ya karne ya sayansi na teknolojia lakini utadhani tupo kwenye ujima!!!!! yaani huwezi pata maelezo ya kina kwenye mtandao kwa vitu nyeti kama hivi....
ndo maana nikasema bongo hii bado sana tena sana nashangaa washairi wanaposema tunaweza amka tu na kujitegemea!!! vitu kama hivi ilitakiwa viwepo online kwaajili ya kurahisisha huduma.Hiyo screenshot ni sehem ya mail nmetumiwa toka UK akiomba assistance
haha, watapewa namba au details za airport? hizo balozi huko nje ni uchovu tu....Waambie waende ubalozi wa Tz Addis Ababa watapewa tu
Mambo vp.Tangi Tomofu kibiki njoo inbox