MTV: Mwisho wa enzi

MTV: Mwisho wa enzi

MTV is ending its dedicated music channels (like MTV Music, 80s, 90s, Live) by December 31, 2025, shifting focus to digital and reality programming as music consumption moves online, marking the close of a 44-year era of music television, though the main MTV channel and U.S. presence remain for now, evolving from music videos to entertainment.
 
Kwani BET na MTV bado walikuwa wanaonyesha music videos?

Nilishaacha kuangalia hizo chaneli zamani sana.

Hata subscription ya cable na satellite sina.
Sina uhakika sana na music videos ile non stop kama zamani
Hapa naangalia naona M for Music na programme line up kuna vipindi vingine kama series
BET huwa naangalia BET Awards tu ila huwa wanaweka movies na series za zamani na zaidi kutoka South Afrika
 
MTV is ending its dedicated music channels (like MTV Music, 80s, 90s, Live) by December 31, 2025, shifting focus to digital and reality programming as music consumption moves online, marking the close of a 44-year era of music television, though the main MTV channel and U.S. presence remain for now, evolving from music videos to entertainment.
Kunaitwa kujivua gamba
 
What is the difference betwen music video and entertainment ? Is this not tautology..what I mean is music video is for entertainment! Nielimishe watu8.
 
Sijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?
Cable na satellite Tv yaani hizi kupitia ving’amuzi zinaelekea kufutika
Sasa hivi kila kitu online unalipia unangalia unachotaka
Au unaangalia kupitia Netflix, Prime au Apple TV apps kwenye mobile device
Kuna podcasts za vitabu na habari za CNN, BBC etc na zipo kwenye mobile device
Hilo li screen la 80’’ litabaki kuwa fenicha tu
 
"Yo! MTV Raps" Hiyo 1988 -1990 tunaangalia kwenye VHS tapes LL Cool J anashuka kwenye Limousine ana rap "I Need Love", mambo ya X CLan, DJ Premier na Guru wa Gangstarr, Leaders of The New School wakiwa na Busta Rhymes, Digital Underground Shock G ana mu introduce dogo mmoja anaitwa Tupac Shakur, Tupac hata hajulikani hapo.

Ukute shows za Fab Five Freddy, Ed Lover, Dr. Dre wamekupangia ngoma za Wanyamwezi kutoka New York mpaka LA, umkute DJ Kid Capri ana scratch, umkute KRS-One na Scot La Rock, umkute Chubb Rock ana flow nonstop, umkute Big Daddy Kane ana flow kama hana akili nzuri, uwakute NWA wana rep West Coast, utafurahi mwenyewe hapo.

Na sisi tukachukua inspirations na DJ Kim Mgomelo wa Kim and The Boyz tukaanzisha mashindano ya Yo! Rap Bonanza Dar es salaam miaka ya mwanzo ya 1990.

Na ITV ilipoanza Tanzania ikaanzisha shooting za video za muziki wa Hip Hop na watu kama Kwanza Unit, Hard Blasterz, Sossy B, Dar Young Mob, Deeplowmatz etc kwa kufuata mfano wa MTV.

MTV imetupa memories nzuri sana.
Navuta hisia Kila napoandika VESI
napindisha mistari isije ikaleta KESI
ni vyema ujing'atue kama una mada NYEPESI
Kwani kashfa Kila kona zimetawala TETESI
Wana rap kufuata mada Kama shombo la FENESI
Vina vya kuunga unga vinanuka kama KINYESI
Zama ulingoni MC kama unataka BATTLE
Rap si kwasakwasa au Lingala ka LOKETO

Miziki na Mimi ni kama chanda na PETE
Na sasa nimeamua Sanaa kuisimamia KIDETE
Nawagema mnashabiki kama ulansi kwenye MTETE
Kisha natafakari kabla ya kusukuma KETE

Level yangu haufiKII
Niite Rhyno wa PC
Mashairi yangu yanajiuza kama hisa za TCC
Sipendi niwe mnyonge Kila mtu anikomaND
Sipendi ninenepe alafu niwe na KITAMBI

1766724381061.jpg
 
Nina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.

Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.

Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.

Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.

Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.

Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.

Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.

Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.

Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.

View: https://www.youtube.com/watch?v=_mjST7QDXss
 
BET nayo wanafuata kwa Afrika na baadhi ya sehemu za Ulaya
Wamiliki wa MTV na BET ni Paramount ambayo inaenda kununuliwa na Netflix
Content zao zitapatikana huko
Channel nyingine za CNN, Discovery, TNT, Cartoon Network nazo zinafuata
DSTv wametangaza kuzifunga kuanzia 1 January
Nope, umechanganya mambo. Paramount hainunuliwi na Neflix bali ilishauzwa kwa SkyDance Media. Netflix na Skydance Media wako kwenye vita kali ya kugombea kuinunua Warner Discovery ambayo ndio yenye hizo channels ulizozitaja hapo chini.
 
Nina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.

Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.

Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.

Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.

Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.

Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.

Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.

Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.

Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.
David Ellison will never do that.
 
Sijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?
Inamaanisha content zitakuwa zinapatikana online through streaming and other means. Ndio maana kuna smart tv siku hizi. Mambo ya dish na antena yanaenda kufa.
 
Nina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.

Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.

Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.

Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.

Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.

Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.

Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.

Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.

Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.
Angaliza, huyo Dr Dre wengi watajua ni yule Dr Dre na Snoop Dogg
 
Nope, umechanganya mambo. Paramount hainunuliwi na Neflix bali ilishauzwa kwa SkyDance Media. Netflix na Skydance Media wako kwenye vita kali ya kugombea kuinunua Warner Discovery ambayo ndio yenye hizo channels ulizozitaja hapo chini.
Offer ya Netflix kubwa na haihusishi media zingine kama CNN,wao wanataka Paramount tu vingine wawaachie pamoja na franchise za movies,ila trump na genge lake ndiyo wanataka inunua Warner brothers yote ikiwemo CNN Ili akomeshe viranga, maana haipendi CNN
 
Back
Top Bottom