MTV: Mwisho wa enzi

MTV: Mwisho wa enzi

Inamaanisha content zitakuwa zinapatikana online through streaming and other means. Ndio maana kuna smart tv siku hizi. Mambo ya dish na antena yanaenda kufa.
Dish na antenna vitakuwepo mpaka kizazi cha 1980 kiondoke, najua kuangalia habari na entertainment kupitia simu,ila sifurahii kama kuangalia kupitia TV na kwa ujinga wa network,siwezi tegemea internet kuangalia arsenal na yanga
 
Hilo li screen la 80’’ litabaki kuwa fenicha tu
Hapana.
Hilo likiwa smart TV litaongezeka soko.
Mtu yupo nyumbani au sehemu ya starehe anataka picha kubwa huku ametulia kajinyosha kwenye sofa. Au yupo kwa private ofisini, au public places. Watching while doing other stuff.
Siyo screen ndogo anaumiza macho na shingo.
I'm talking about ergonomics.
 
Hata sielewi sababu ni nini.
Jibu nililolipata ni hili:

Key reasons for the channel closures include:
  • Failed Negotiations: Deadlocked talks with Warner Bros. Discovery regarding pricing and terms for 12 channels (including TLC, CNN, and Discovery) mean they may leave by January 1, 2026.
  • Provider Shutdowns: Paramount Africa is shutting down specific operations, resulting in the removal of BET Africa and MTV Base, while CBS AMC Networks is closing CBS Justice and CBS Reality.
  • Strategic Shifts to Streaming: Content providers are moving away from linear TV to prioritize direct-to-consumer streaming platforms, making traditional channels less viable.
  • Cost Management: MultiChoice is looking to optimize its content lineup amidst financial pressures and competition.
 
Offer ya Netflix kubwa na haihusishi media zingine kama CNN,wao wanataka Paramount tu vingine wawaachie pamoja na franchise za movies,ila trump na genge lake ndiyo wanataka inunua Warner brothers yote ikiwemo CNN Ili akomeshe viranga, maana haipendi CNN
Mkuu bado unachanganya hizi ishu. Paramount imeshauzwa. Vita iliyopo kati yq Netflix na Skydance ni kununua Warner Discovery na CNN iko chini ya Warner Discovery na sio Paramount.
 
Kwasasa TV ni almost zimekufa.. China TV hazina dili tena! Hata hapa kwetu hebu angalia mfano taarifa za habari.. Yaani unakuwa umeshapata kila kitu kwenye simu tena kwa ukubwa wake
"Tena kwa ukubwa wake" ( bila ku editiwa na akina msigwa au kutoka kwa maelekezo ya tcra)
Nilikuwa nafafanua kidogo.
 
Back
Top Bottom