MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

mie pia sitaki tena huu ujinga ujinga!!

mziki mzuri naucheza kwanza sasa hivi nimebaki kuwasikia jf tu

sijui songi zao ht moja za hivi karibuni

namshabikia barnaba na Ben pol
Hahaaaaaaa jamani mi utimu ushuzi nilishaaucha bora kabisa maana hizi timu kumponda mmoja sijui ndo wanafikiri kumtamfanya mwingine awe juu ka wizkid, bora tu wawe wanakosa na hujuma zifike mwisho na upuuzi wakuenezeana chuki.
 
Poor Tanzanians wenye team uchwara, Wasanii wenu wana perform chini ya kiwango.

Shame on you guys.
 
emoji120.png
emoji120.png

Sibishani na mwana ********.
Kama wewe.
Unconditionally bae by Sautisol and Alikiba!,
Uwo ci wimbo wa sauti Sol kashirikishwa tu kwa nn asiimbe wimbo wake hata ule wa usiniseme napenda kula
 
Waambieni hao watoto, waache dharau;
tunapiga kura hadi tunaiba email za watu kuwapigia
kura lakini neno la asante kwao hakuna;

sasa wamejifunza, wakati mwingine tutawapigia kura;
 
Waambieni hao watoto, waache dharau;
tunapiga kura hadi tunaiba email za watu kuwapigia
kura lakini neno la asante kwao hakuna;

sasa wamejifunza, wakati mwingine tutawapigia kura;

Ila mondi katoa shukrani. Yule mheshimiwa mwingine sijaona labda nikangalie tena kwa page zake..
 
Una uhakika???? Nenda YouTube,,, Halafu Swali lililoulizwa ni kuwa alikiba aliimba wimbo gani,nimeshajibu,kwa Swala la kushirikishwa nenda YouTube uone,kama kushirikishwa au wameimba pamoja,, pia sikiliza ile clip ya Mtvmama umsikilize Yule mtangazaji alisema nini,,kuwa alikiba kashirikishwa au wameimba pamoja, alisema 'unconditionally bae 'utaperfomiwa na sautisol and alikiba.
,Unajua tofauti Kati ya collaboration na featuring kwenye mziki???,,
Unajua tofauti iliyopo Kati ya wimbo ulioandikwa x ft y na x na y??,,
For more clarification,collaboration means co-writting a song, if u co-write a song with someone both of u own the song,!kwahiyo co-writting a song maana yake ni collaboration,swala la makubaliano ya jinsi ya kugaiana faida ni juu ya waloshiriki kuuunda wimbo.
Hata kufanya performance ni haki ya yoyote,,thanx,wakati mwingine inaeza kosewa kuandikwa kwenye Kichwa cha Habari cha wimbo, ikaandikwa ft badala ya collaboration (and)
Mfano Mzuri, wimbo wa Empire State of mind,(new York)ulioimbwa na Jay z,na Alicia Keys, yeyote huwa anaperform, Alicia Keys akiendaga kwenye show huwa anauimba Kama wake.
Uwo ci wimbo wa sauti Sol kashirikishwa tu kwa nn asiimbe wimbo wake hata ule wa usiniseme napenda kula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom