MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Hahahah! Jumamosi nilitamani niwe mod nidelete jukwaa la celebrities kwa muda.. Maana daaaahh ilikuwa balaa, watu walitukalia kooni hatukohoi
Kumbe na wewe huwa unakasirika? Kweli ulipatikana.
Najua kilichokuuma ni ile performance mbovu ya upande wenu
 
Sikukasirika ila nilikuwa na huzuni alafu watu wanaendelea kutonesha kidonda.!!

Ila si unajua sisi watu wa 'counter attack'?? tunaipua kitu kutoka jikoni haraka sana kila mtu atasahau aibu tuliyopata jumamosi..
 
Ngoja tusubiri...tukutane hiyo jumamosi panapo maajaliwa.
 
Hahahah! Jumamosi nilitamani niwe mod nidelete jukwaa la celebrities kwa muda.. Maana daaaahh ilikuwa balaa, watu walitukalia kooni hatukohoi
Hahaaaaaaa pole ndo tatizo lakuwa shabiki sana kupitiliza, mi siku zile nilijua hatutobozi mziki wetu bado, sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom