MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Ila jua kuwa DIAMOND kakosa mtv kapata AEA 1 NA AFRIMA 1.Kwahiyo DIAMOND mtoe kwenye furaha yako kwa kudhani amekosa,ila kama vipi nuna maana kapata kwingine.
Hahaaaa hzo AEA. Ni tuzo za wapi mbona hazijulikana labda za uchochoroni kwa Africa mtvbase ndo kubwa na za heshima
 
perfect!
sema nahisi sallam sk hajaliona hili
itabidi waanzishe kipindi wapite mtaani wasikilize kinachowakera mashabiki kitoka kwa msanii wao..
mimi pia mkereketwa kuhus mapenzi na kazi.
diamond tulimzoea kazi kazi..
na huyu hawara ake wa uganda waTz washamchoka majivuno yake na tabia za kipuuzi, halafu anamrudisha nyuma sana sana.
ukitaka kufanikiwa kimziki mapenzi tupa kando ajifunze kwa wasanii wenzie.. akina wiz
hii tabia yao ya kiswahili na zari inanichefua
mwaka huu sikupata shida na hio kura
nmepiga mwishoni tuu.
na pia MTVmama hakuipa priority, alifocus BET alivoshindwa tu basi akalala
upuuzi na lile libibi ukaanza.
salamu za pole na pongezi zimfikie diamond popote alipo, asiwe kama wema sepetu!
afanye kazi, mapenzi baadae na hilo libibi la kiganda ni wakati wa kuliweka kando aka focus maana linamrudish nyuma sana
Na vipi kuhusu kiba?Maoni yako tafadhali.
 
Ile nyota iliyozimika Mombasa imeziponza nyota nyingine ambazo zipo nayo kwenye galaxy moja.
 
Hahaaaa hzo AEA. Ni tuzo za wapi mbona hazijulikana labda za uchochoroni kwa Africa mtvbase ndo kubwa na za heshima
Eti eeh,basi hii hapa, vipi kibabu keshawahi kuipata hii.....??
images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom