- Thread starter
- #21
Asnate kwa ushauri wako. Ila mwanzo ni mgumu, na hakuna benki inayoweza kumkopesha walimu mpya ambaye hujathibitihswa kazini. watu tunalia na mwanzo huu mgumu unaosababishwa makusudi na serikali yetu. huu mwanzo mgumu tunaotengenezewa, hauna matokeo mazuri, tusifichane.Wenzio tumeacha kulalamika. Fanya hivi: Nenda benki (sio nmb) kapate minimum 12m, kama upo huku mashambani kama sisi, nunua ng'ombe wa maziwa wannewenye mimba kwa 1.5m@, jenga banda kwa 1m, tafuta mkata majani. baada ya mwezi au miwili utaanza kupata maziwa atleast 15-20 lts kwa kila ng'ombe. lita kwenye vituo vya kukusanyia maziwa ni 700 kwa lita. Utapata kati ya 42000-56000 kwa siku au 1680000 kwa mwezi, mlipe mkata majani vizuri ili aishi nao kama ndugu zake, ndani ya mwaka utasahau kero zoote za kazi na wenzqko watakuheshimu pia.