Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

Nazareti

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
413
500
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
Tembo anatumia nguvu zake zote kupambana na kichanga cha ngedele ambacho hata kikimkanyaga wala hakina madhara yoyote kwake.
 
makaghari

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
503
500
Ni hatari sana wananchi zaidi ya million 43 wakiwa na namna moja ya kufikiria. Hata wanandoa wanalala na kuamka pamoja lakini huwa na mawazo tofauti, iweje watu million 43 tuaminishwe kuwa kila kitu kiko sawa/hakiko sawa ilhali tupo tunaoona vinginevyo..??
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,050
2,000
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi

Alitaja jina gani na nchi gani
 
m2me

Member
Jul 23, 2012
55
95
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
Maumbile ya nchi ni yapi? Ufisadi? Uzembe? Ulalamishi au?
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,546
2,000
Siungi mkono matusi ya aina yoyote ile lakini kwanini sheria iwe kali pale viongozi tu wanapotukanwa ilhali insta ina mafuriko ya matusi?

C1yvOP2XcAAbEVT.jpg
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,465
2,000
Huyo kijana namfahamu ni mropokaji tu...tena siku hio alikuwa kashapiga viroba!
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,465
2,000
Siku ya tukio ilikuwa hivi...huyo kijana alikuwa kavaa tshirt yenye picha ya mgombea na makamu wake. Kijana akataniwa naona umevaa tshirt ya hapa kazi tu ndipo hapa akaanza kuropoka hayo matusi huku akitaja majina na kuonesha waliopo kwenye tshirt yake kuwa ni wa....e, wana.....a,..........etc etc bila kujua kuna wajomba around!

Hio kwenye magazeti kusema 'kinyume na maumbile' ni kwasababu hawawezi kuandika matusi aliyotoa.
 
deshoko

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
255
250
Mtunza bustani jijini Dar es Salaam amefikishwa kizimbani jana kwa tuhuma za kumtusi rais Magufuli na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Taarifa zinaripoti kuwa akiwa maeneo ya Leaders club mtunza bustani huyo aliwatusi rais na makamu wake kwa kuwatuhumu kwamba wanaongoza nchi kinyume na maumbile

My Take:

Jamani tujizuie kumtusi kiongozi wetu, lakini pia kamata kamata ya polisi inawatia hamu watu kuzidi kutukana. Maana toka watu waanze kukamatwa matusi mapya ndio kwanza yanazidi
Mbona hakuna tusi apo
 
edu88

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
693
1,000
Hata kama hukubali sera na siasa, sio busara kumtusi mtu, iwe Raisi, jirani, ndugu au rafiki yako. Ngoja watu wa aina hii watiwe mikononi mwa sheria hadi watakapo nyooka wenyewe. Iwe fundisho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom