Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

hii serikali sasa inataka kujifanya mungu watu... yaan kusema kinyume na maumbile ni tusi..!
au kuna lililopo nyuma ya pazia..!
 
Unajua nyie mijutu mingine mnajifanya kama hamna akili hivi mtu kunahaja ya kufikiria kiwango cha digree kama huyo jamaa hajafanya kosa unaonaje nyumban kwakoo mwanao akakumbia baba unaongoza familia kinyume na maumbile utacheka wewe? Na utafurahi kama mwanangu hajafanya kosa hebu tuwe na heshima kwa viongoz wetu.sichukulii magufuli tu hata awe kiongoz wa mtaa ni kiongoz kukuosana kunanjia nyingi na si kutukana.acha sheria I chukue nafasi yake
Mkuu usifananishe ya nyumbani na mwenendo wa Taifa. Home mtoto anaweza akachapwa kisa mtu mzima amejamba na inakubalika kabisa...
Don't you dare.
 
Hivi jamaa akisema maumbile ya nchi nikatiba. Sibasi kesi imeisha. Maana ni raisi kuonyesha vitu vinavyofanywa kinyume cha katiba
 
57 Reactions
Reply
Back
Top Bottom