Hiyo comparison yako haina kichwa wala miguu, usikute huyu aliyeongea hivyo ana umri wa baba wa unaewaita wazazi,usitake kuona kila mtu ni mtoto ama ana akili za kitoto banaUnajua nyie mijutu mingine mnajifanya kama hamna akili hivi mtu kunahaja ya kufikiria kiwango cha digree kama huyo jamaa hajafanya kosa unaonaje nyumban kwakoo mwanao akakumbia baba unaongoza familia kinyume na maumbile utacheka wewe? Na utafurahi kama mwanangu hajafanya kosa hebu tuwe na heshima kwa viongoz wetu.sichukulii magufuli tu hata awe kiongoz wa mtaa ni kiongoz kukuosana kunanjia nyingi na si kutukana.acha sheria I chukue nafasi yake