Yule anaitwa mtunza bustan siyo ukawa.Sifa kuu ya ukawa ni kutukana, huyu katimiza vigezo mpokeeni!
Kapaza sauti mtaani na mashahidi wapo
Kiongozi yeyote anachaguliwa na Mungu!kweli??kwahiyo hata Kibwetere??wadanganye wajinga.Huo nimekupa mfano hai Lazima uelewa kwanza kiongoz yyt huteuliwa na Mungu hata kama kaingia kwa mapinduzi ya kijeshi
Huko ni kuhalalisha uhalifu.sasa hawa waliomkamata si wangempotezea tu, maana wasinge mkamta isinge sikiika ingeishia hapohapo bustanini kwake. sasa nashida yote bado wanampa hali ngumu kabisa hivyo! basi watapanda vyeo,
ILA NAWAOMBA WAHUSIKA WAMSAMEHE HUYU MDAU WA MAZINGILA.WATOE TAMKO AACHIWE BILA YA MASHARTI.
Kwani ukawa hawana kazi?Yule anaitwa mtunza bustan siyo ukawa.
Mh raisAkiitwa mtakatifu kosa aitwe nani
Ataenda kueleza mahakamaniKwani nchi inamaumbile?
Wachukuliwe hatua tu hamna namna nyingineMimi nilishuhudia bodaboda,mama lishe na dada poa wanavurumusha yale ya nguoni....sitaki kuyasema ...sitaki ushahidi...
Huko ni kuhalalisha uhalifu.
Sheria haina exceptionRais angekua mtu mwenye hekima asimame na kuamuru polisi wasikamate mtu yeyote anayemuongea, tunapoteza muda, pesa, rasilimali watu kukaa tunadeal na watu kama huyu mzee. Mwisho wa siku atapelekwa mahakamani atakataa watamuachia. Waafrika hatubadiliki, tuko vilevile, tunajali sana mambo ya kijinga, yale ya msingi yanapewa second priority.
Sheria ni ukatili?duh!
watanzania tunapandikizwa ukatili tu.
Mahakama kazi yake kutafsiri sheria ataenda kudaidiana nao kutafsiri ikionekana sio tusi haina shidaNeno sio tusi,tafsiri yako ndio tusi.
MUNGU yupi huyo?Huo nimekupa mfano hai Lazima uelewa kwanza kiongoz yyt huteuliwa na Mungu hata kama kaingia kwa mapinduzi ya kijeshi
Wasimsifu lkn wasimtukaneUtaanzaje kumtukana baba na mamako hivyo wakati hawafanyi au hawaongoz familia hivyo? Punguzen jazba zisizo za msingi, haiwezekan wote wamsifu tu kwa kila anachokfanya,
Police nao wameshndwa kukomesha vitendo viovu wamekalia kudeal na watoa maneno! Kuna mitaa mengine hapa bongo hayaptk kuanzia saa 2 usiku police hawajui? Kwa nn wasielekeze nguvu zao huko kukomesha uharf na kudumisha amani?
Kagera juz kati waliambiwa maneno matamu kama sukari? Mto ngono,ukimwi nyinyi, mtaa katelelo nk hayo siyo matusi? Kuyasema ilikua sehemu yake hapo? Hii nchi ya kuropoka kuanzia viongoz wetu hivyo wakilopoka watu chini msitahamaki maana wajfunza toka kwenu!
Siku moja watu wanaojiita twaweza waanzie hapo kwenye matusi,sio zile tafiti za kujifungia chooniWaulize polisi
Itajulikana mahakamaniHapo tusi ni nini??????
Hana kosa bado anatuhumiwa tu mahakama itaamua kama ana koss ama laBado sijaona kosa la msingi la huyo kijana kushtakiwa.
Ni kupoteza muda na rasimali tu kupambana na raia wanaotoa maoni yao.