mtumwa hauawi jamani......

mimi nahisi huyu jamaa anataka mke wa kuoa na si kupotezeana muda. hivyo alivyosikia huyu tayari ni divorcee na ana watoto tayari, hakutaka kupoteza muda wake kwa jambo ambalo halitakua. sidhani kama kuna mwanamme anayetaka kuoa mwanamke aliyewahi kuolewa au kua na watoto.
 
. . . . .page refreshing. . . . Na ndiyo maana unapaswa umfahamu mtu kwanza ha a kabla hujawaza dating!
 
mimi nahisi huyu jamaa anataka mke wa kuoa na si kupotezeana muda. hivyo alivyosikia huyu tayari ni divorcee na ana watoto tayari, hakutaka kupoteza muda wake kwa jambo ambalo halitakua. sidhani kama kuna mwanamme anayetaka kuoa mwanamke aliyewahi kuolewa au kua na watoto.

Kwahiyo wanaooa wanawake wa aina hiyo wanalazimishwa? Maana wapo, wala si kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: LD
mimi nahisi huyu jamaa anataka mke wa kuoa na si kupotezeana muda. hivyo alivyosikia huyu tayari ni divorcee na ana watoto tayari, hakutaka kupoteza muda wake kwa jambo ambalo halitakua. sidhani kama kuna mwanamme anayetaka kuoa mwanamke aliyewahi kuolewa au kua na watoto.

Mbona wanaume ma divorcee kibao wanaoa vigori jamani?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kama ndio mambo yenyewe haya MIMI BADO NIPO NIPO sanaaaa aiseee loooh
Ila mbona kwa wanaume inakua rahisi sana kuoa na kuacha,kuoa na kuacha kama mzee wetu Bishanga.....ina maana hili tatizo ni wanawake tu ndio wanakua na kasoro au?

Hapo kwenye desh desh si useme tu kuwa ni bishanga?
Ila kusema kweli BabuDC ana mibusara ya hatari though aliyosema kwa mwanamke mtalaka mwenye watoto yanauma.
By the way Yummy umeolewa?
 
Last edited by a moderator:
Salama. . .wewe je?

Eti Bishanga nikiachana na nanii si utanioa japo nna watoto watatu?!

Jokes aside binafsi sioni tatizo kuoa mtalaka with kids mradi tu limwanaume lake la zamani lisinigasi,maana mianaume mingine (kama la kwako) ni sitaki nataka.
Btw jana karudi sa ngapi maana hadi saa kumi alfajiri alionekana kwenye ambiansee.(hivi kwa nini humpigi chini?)
 
  • Thanks
Reactions: LD
Dark City, cindy ni wa kupongezwa kwa kuwa wazi mapema., hapo nakubaliana na wewe.

Ila nachoshangaa ni kwenda dinner mara moja na mtu halafu unamwingiza akilini kiasi cha kushangaa akiingia mitini.

Labda kwa vijana, lakini mtu mzima kumwingiza mtu akilini mara moja mbona ngumu? Au mie ndio sielewi?
 
Yule ni NATAKA tu. . .hajawahi kuni'staki nataka' hata siku moja. Alafu we Bishanga wewe. . . jana tulikua beach kigamboni mpaka saa tano tunakumbatiana kwenye giza we unasema nini?

Yeahh. . .binafsi bado sijakutana na hao wenye kuona watoto/talaka ni tatizo. Mpaka hapo nisema na wewe ni wa ukweli.
 
Kwani bishanga sijakuingia akilini?mbona tumetoka mara moja tu?
 
Last edited by a moderator:
Yule ni NATAKA tu. . .hajawahi kuni'staki nataka' hata siku moja. Alafu we Bishanga wewe. . . jana tulikua beach kigamboni mpaka saa tano tunakumbatiana kwenye giza we unasema nini?

Yeahh. . .binafsi bado sijakutana na hao wenye kuona watoto/talaka ni tatizo. Mpaka hapo nisema na wewe ni wa ukweli.
Mke mwema sana wewe,umefundwa ukafundika maana kwa kuficha matatizo ya familia hujambo.
 
Hapo kwenye desh desh si useme tu kuwa ni bishanga?
Ila kusema kweli BabuDC ana mibusara ya hatari though aliyosema kwa mwanamke mtalaka mwenye watoto yanauma.
By the way Yummy umeolewa?

Bishanga nimekutaja wewe sasa JF siku hizi ina kifafa sijui kwnn majina hayatokei??!!inakera sanaaa.
Sijaolewa wala sina mchumba,unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Dark City duuuh nimeshtuka kidogo,mm nna watoto na sitafuti wanaume ila wao wananitafuta sasa inakuaje hapo???na wengi wao hawana watoto. Kwahiyo Babu ushauri wako nisikubali mwanaume yeyote ambae hana mtoto hata kama ameonyesha ana mapenzi na wanangu na mambo mengine mengi tuuuu...kweli nimkatae,kisa hana mtoto????!!!!

Sijasema kuwa hakuna wanaume single (without kids) ambao wameoa wanawake wenye watoto...Wapo wengi sana. Ila ukiangalia hizo ndoa kwa jicho la utu uzima, nyingi zinaelea hewani. Hata hivyo, zipo ndoa chache ambazo mwanamke kaolewa na mtoto au watoto lakini ziko imara.

Nakushauri utumie akili kama za Candy kuwapima hao wanaokutafuta wewe ili ujiridhishe kwamba siku moja unaweza kujenga ndoa imara kama hizo chache. Ila usisahau kuwa probability siku zote inalia upande ambao uko karibu na 1 (100%).

Kama ndio mambo yenyewe haya MIMI BADO NIPO NIPO sanaaaa aiseee loooh
Ila mbona kwa wanaume inakua rahisi sana kuoa na kuacha,kuoa na kuacha kama mzee wetu Bishanga.....ina maana hili tatizo ni wanawake tu ndio wanakua na kasoro au?

Naelewa kuwa wanaume wanaachika au kuacha sana na kurudia kuoa...Hata hivyo, katika mambo haya ya ndoa wanaume na wanawake ni viumbe tofauti kabisa...!..Ndiyo maana ushauri wangu huu nimewapelekea wajukuu zangu wapendwa wa kike...Nawependa sana na sitaki wala sitamani kuona wanaweka maisha yao rehani!

Babu DC!!
 
huyo baba kasahau methali yetu ya ukipenda boga penda na ua lake alikuwa anabeep

FL1,

Siyo kila jaribio linafaa kujaribiwa.....Hata kama ningependa vipi boga, mara nyingi napenda kubaki na uhuru wangu wa kuamua kama nipende na ua lake au la!! Tatizo boga halitakuwa na raha wa amani tena, kama halina hakika kwamba ua lake linapendwa pia!

Nigejaribu kila njia kutojiingiza kwenye biashara ya namna hiyo!! Ndiyo maana nasema kuwa huyo mwanamue alifanya uamuzi wa busara sana!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom