Na sisi ni nani tusiweke..?Chanzo cha habari kimeweka na picha yake
Na usipoweka picha, wazee wa weka picha lazima waseme na weweUmeona eehh raha ya habari kama hii picha iwepo ndo utamu unakuja
Naka, unaongea kwa uzoefu sana... ni kama vile umewahi kupitilizaRaha zikizidiiiii na presha inapanda sana au inashuka sanaaa mwisho mnapitilizaa
Sema wengine (akina Naka) wanaliaga kuongeza invoice tu..!! Akina siye kuunguruma kama simba na kukakamaa kwa kunyosha miguu kama unakata rohoSasa kama hadi mtu analia kwa hisia anazopata kifuatacho ni nini kama sio kupitiliza siku nyingine ...kwani huwa hamlii?
We ulishawahi pitiliza ??Raha zikizidiiiii na presha inapanda sana au inashuka sanaaa mwisho mnapitilizaa
Wa Mtimbwilimbwi una hatari weyee..!!! Umenikumbusha NanyambaWapo wanaume wanalia vizuri sanaaa
Tena sana...
Una defend upande wakoNyie wanaume ndo huwa mnapitiliza