maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,317
- 1,790
Wakuu mimi ni mtumishi wa umma ambaye natarajia kustaafu kwa hiari ifikapo June 30/2020.
Ninaomba kujua mafao ambayo nitastahili kuyapata, ukizingatia kwamba asilimia kubwa ya watumishi hatujui haki zetu.
Maafisa utumishi wengi aidha kwa makusudi au kwa kutojua, (hujiona Miungu watu) huwa hawana muda wa kuwaelewesha watumishi haki zao. Sana sana hukazania zile sheria zinazombana mtumishi tu.
Je kuna tofauti ya mafao kati ya mtumishi anayestaafu kwa hiari na anayestaafu kwa lazima?
Naomba wanaojua wanisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app